Huyu wa kwetu aalikwe atasema nini? Labda kuwe na mdahalo unaohusu mambo ya kufedhehesha wanawake ndiyo anaweza.Kagame na udikteta wake wote lakini alikuwa anaalikwa huko duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa kwetu aalikwe atasema nini? Labda kuwe na mdahalo unaohusu mambo ya kufedhehesha wanawake ndiyo anaweza.Kagame na udikteta wake wote lakini alikuwa anaalikwa huko duniani
Jiwe atakuja kuzimiwa hiyo pacemaker iliyowekwa kwenye moyo wake na hao anaowaita mabeberu.Kwa mfano ndio akashiriki alafu ndio akasema kuwaaambia mambo hayajaenda kama walivyotaka, then ndio iwe nini?
Bado 2najadili ya mdee we ushaanza ya mkimbizi Lissu?
Mabalaa ya demokrasia ni nini ebu dadavua mkuu unatuacha njia pandaDemokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.
Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Alikuwa anamtukana Magufuli au alikuwa anampa makavu laivu ya maovu yake?Lissu alivyokuja hakuja kugombea uraisi alikuja tu kutafuta platform ya kumtukana Magufuli tu.
Alishughulika na mtu badala ya taasisi,Huwezi shika nchi kwa kumporomoshea matusi mtu mmoja!!!!!! hata awe aisi!! Raisi ni mmojawapo tu wa watu lukuki walioko kwenye dola!!!Alikuwa anamtukana Magufuli au alikuwa anampa makavu laivu ya maovu yake?
Mayanga construction. Magufuli na Mayanga hawajaoa nyumba moja?
Dotto James siyo mtoto wa dadake Magufuli?
Kijijini Chato hapajajengwa international airport?
Hili "dubwana" tumuombee Mungu mwingi wa rehema aliondoe duniani tu. Amen.
Yanafanyika lini na wapi!?.View attachment 1638268
Mh. Tundu Lissu atashiriki mazungumzo ya #IDU2020 ambao ni umoja wa vyama vya kidemocrasia Duniani IDU (INTENATIONAL DEMOCRAT UNION)
Tarehe 19 hadi 20 mwezi April 2020Yanafanyika lini na wapi!?.
Hoja yako ni nini? Kwamba tulikuwa na uchaguzi mzuri tu, na utawala wa awamu ya Tano hauvunji haki za binadamu, ila mataifa ya magharibi yanatulazimisha ajenda zao?!Demokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.
Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Ukimchukia mtu unaweza kuchukia hata na kile anachokizungumza! Wewe unaweza kuwa case study! hivi wewe katika kile alichokuzwa akikizungumza Lissu kwenye kampeni ulisikia matusi gani kutoka kwenye kinywa cha TAL kumwelekea Rais?Alishughulika na mtu badala ya taasisi,Huwezi shika nchi kwa kumporomoshea matusi mtu mmoja!!!!!! hata awe aisi!! Raisi ni mmojawapo tu wa watu lukuki walioko kwenye dola!!!
Lisu hakujiandaa kugombea uraisi ila aliandaa encyclopedia ya matusi ya kuporomoshea Magufuli tu hakuwa na jipya
Aaah tafadhari mkuuKwa mara ya kwanza katika historia, Taifa limepata rais ambae hata international community inamuona hana chochote cha ku-share na dunia!!
Ukishindwa kujiheshimu unaruhusu walio karibu na wewe waingilie mambo yako.Demokrasia ni mfumo mzuri lakini unatiwa ukakasi na mataifa ya magharibi kupenyeza ajenda zao kwa mgongo wa kutetea demokrasia.
Ndio maana uchina ameamua kujiweka mbali na huu mfumo kwa kuwa ndani yake kuna ajenda nyingi za western power. Ulazimishwaji wa demokrasia umeleta mabalaa mengi duniani kuliko faida.
Rushwa ya ccm na viongozi wake vinaitafuna nchi taratibu taratibu.Mwambie huyo Mdee ndie habari ya mjini kwa sasa
CHADEMA BAWACHA ndio ilibaki nguzo pekee ya CHADEMA ya kuaminiwa.
CHADEMA waliisifu sana BAWACHA kuwa eti wabunge na madiwani wote eti kwa kile kinachoitwa kununuliwa wabunge na madiwani walikuwa ni wanaume tu wanawake wa BAWACHA hawakukubali.
Msimamo huo ulisababisha wabunge wanawake wawekwe wengi kwenye majimbo kuliko wanaume na ikapata baraka ya kamati kuu ikituhumu kuwa mianaume mingi inauzika inafika bei!
Sasa hilo limetokea yuko mbunge Aida KHATAN na wabunge viti maalumu 19 wote kwa mpigo wameingia bungeni.
CHADEMA wengine wanasema wamenunuliwa wengine wanasema hao wabunge wote 20 ni maafisa kipenyo wa serikali waliokuwa ndani ya CHADEMA!
Ina maana kwa sasa CHADEMA haitawaamini wanawake wala wanaume kwa kuwatuhumu kuwa wananunulika au ni maafisa kipenyo wa serikali! Je wanaonunulika na maafisa kipenyo ndani ya CHADEMA wameisha?
Kwa muktadha huo CHADEMA sasa hivi wahangaike kujenga lichama lao hilo wanalolituhumu wenyewe kuwa limejaa wanaouzika na maafisa kipenyo
Tundu Lissu anaifungua dunia kuhusu mambo yanayoendelea nchini ambayo kwa mwenye macho ya mbali lazima aone consequences zikija mbeleni.Serikali kupambana na Tundu kwa vyovyote ni lazima ipate failures sababu hoja zake ni za msingi na ushahidi wa kuaminika upo hvyo cha msingi ni kukaa nae chini na kujadiliana nae jinsi ya kusonga mbele kama taifa,tofauti na hapo itegemee anguko kubwa mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Kwahiyo unataka Magu pia aitwe kushiriki hapo?Kwa mara ya kwanza katika historia, Taifa limepata rais ambae hata international community inamuona hana chochote cha ku-share na dunia!!
Kagame na udikteta wake wote lakini alikuwa anaalikwa huko duniani kwa sababu watu waliamini ana kitu cha ku-share! The so-called Mabeberu walifahamu pamoja na udikteta wa PK lakini ukimweka mbele atetete anachokiamini, atakitetea in a more intellectual way, kitu ambacho Dikteta Jiwe hawezi!!
Kwa kipi mkuu? LISU ni loser!Yaani CCM, MAGUFULI, Jane Lowassa, Pascal Mayalla and the team wakisikia jina Tundu Lissu, siku yao inaharibika kabisa, hivi aliwakoseeni nini hadi mkataka kumuua?
Uliambiwa andamana umtoe ukajificha uvunguni mwa kitanda!Huyu wa kwetu aalikwe atasema nini? Labda kuwe na mdahalo unaohusu mambo ya kufedhehesha wanawake ndiyo anaweza.