Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

Hata Kigogo alisema ataenda.

Alisema ataenda kunya kwenye kaburi lake.

Sionkila anaekwenda ni kwqsababu alimpenda.....wengine tunaenda kunya na kukojolea kaburi.
 
Acha ushoga choko wewe ndio maana tunasema Bora ccm iongoze milele kuliko nyie mazombi
 
Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake...
Lisu ana enda tembelea Kaburi la Magufuli kwa sababu ya haya hii:

Matayo 5:44-45​

BHNSUVNenoSRUV
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye .........
 
Anataka kwenda kulikojelea au kulichapa bakora
 
 
Kwa Tundu Lissu alipigwa risasi kipindi cha Uongozi wa nani? Labda anaenda kutangaza kusamehe kwa yote aliyofanyiwa kipindi cha Uongozi wake.
 
Hata Kigogo alisema ataenda.
Alisema ataenda kunya kwenye kaburi lake.
Sionkila anaekwenda ni kwqsababu alimpenda.....wengine tunaenda kunya na kukojolea kaburi.
Wanaotembelea Magufuli wanaitambua falsafa yake ya uongozi. Sasa wew bumunda moja kutoka kikosi cha Nepi wala huna impact yoyote hapa nchini.
 
H
Familiar ya Magufuli tu ndiyo yenye mamlaka ya kumzuia mtu kuzuru kabuli la Magufuli. Mwingine yeyote hana mamlaka hayo.

Lissu ni kweli alimnanga sana Magufuli wakati wa uhai na baada ya kifo chake lakini inawezekana anataka kutubu baada ya kugundua makosa yake. Si haki kumzuia inatakiwa asindikizwe ili kuona anataka kufanya nini lakini sio kumzuia.
 
Tundu anawehuka?

Yaani aende kwa kaburi ambapo huwa anasema anaushahidi kwamba, JPM alitaka amuuwe?

Stupid
 
Unafikiri Lissu hajawahi kuzuru kaburi la Magufuli? Mbona mwaka jana alipoenda Chato kabla ya kuhutubia pale stendi za zamani alienda kuzuru lile kaburi?

Mimi mwenyewe Magufuli sikumpenda kabisa lakini nilienda kuzuru kaburi lengo likiwa kuona mahala alipolala Kiongozi katili na mpumbavu kuliko wote waliotokea Tanzania.
 

Pole sana mzee wa cheti feki serikali ya magufuli ilikua haitaki mbumbumbu n
 
Siasa ni drama.
Wananchi msiwachukulie serious san wanasiasa, hapa ndipo nagundua JPM kwanini alikuwa hataki siasa za kinafiki.
 
Mzee wa cheti feki halafu bado Niko kazini? Au mpaka nimtibu mama yako fistula ndo uamini Niko kazini? Mlete basi.
Pole sana maisha yanakupiga kutokana ni mbumbumbu magufuli alikua hataki mbumbumbu kama nyie ndio maana mnamchukia wazee wa vyeti fekiiii
 
Mods naomba utoeni huu uzi coz unawafanya watu wapate mzuka sana.
 
Last time alipotembelea kaburi la Magufuli alisimama kusema kuwa baada ya kifo chake zilikutwa dola nyingi sana zimefichwa nyumbani kwqke Chato

Inatosha afanye siasa bila kumhusisha marehemu. Aendelee kumnanga aoendavyo na siyo kwenda kinafiki kuhiji kaburi lake
 
Huyu mpumbavu asiruhusiwe kabisa kukanyaga Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…