Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

Anataka atembelee ili ajiridhishe kuwa lile JINAMIZI lililotaka kumuua ni kweli limetangulia lenyewe kufa?

Mruhusuni tu bana. Ni funzo ili watawala wa hovyo makatili kama Magufuli wasitokee tena
 
Lissu anatafuta kiki tu!

Kwa nini uende kwenye kaburi la mtu ambaye unadai alitaka kukuua na ambaye ulifurahia kifo chake?

Lissu aache hizi stunts za bei rahisi.

Au kaishiwa sera?
Kwa nini unaita stints? Kucheka kwa zamu, hii ni zamu ya Lissu wacha akamzomee hivyo hivyo humo alimofukiwa. Hata kama hatasikia, ila nyinyi misukule yake mnaomuabudu mtasikia
 
..ni vigumu kumtenganisha Magufuli na jaribio la kumuua Tundu Lissu.

..maamuzi ya mahakama za kimataifa kuhusu kesi zilizofunguliwa dhidi yetu, yamedhihirisha kwamba Lissu alikuwa sahihi, na Magufuli na watu wake walikosea.
Kesi moja tu waliwahi shinda zama za Magufuli na mtu mmoja tu ndio alikuwa mkorofi alishindwa South Africa, akakimbilia CANADA.

South Africa ilikuwa raisi hatukuwa nao kwenye makubaliano ya arbitration (serikali ilikuwa na uwezo) wa kudai fidia za gharama za legal costs and damages on loss of businesss, hawakufanya.

Nina uhakika wa 100% argument waliyotuma South Africa waliokota JF kupitia kwangu.

Walipoenda CANADA tukawaanbie huko arguments na Bombardier kesi inataka purchase agreement na Bombardier ndege aijakabaziwa kwa mkataba wa manunuzi wao wakaenda na akili zao.

Mimi binafsi sishindwi kesi hata moja ya serikali inazoshindwa. Sikulazimishi uamini na Lissu hana anachojua kwenye kesi za mikataba alikuwa kichefu-chęfu tu katikati ya vita.

Sasa ninaposema hata Kabudi ni kwa sababu kwenda kwenye hiyo mikataba lazima uwe na abc za biashara/finance. Background ambazo hawana na lazima washindwe hizo case.
 
Kwani kasemea wapi kuwa anataka kwenda kwenye kaburi la huyo shetani?
 
 
 
Lissu anatafuta kiki tu!

Kwa nini uende kwenye kaburi la mtu ambaye unadai alitaka kukuua na ambaye ulifurahia kifo chake?

Lissu aache hizi stunts za bei rahisi.

Au kaishiwa sera?
Na upuuzi upuuzi wote huo namihemkoyake still kunawatu wanadhani huyo tundu anafaa kuwa rais.
 
Jinsi ulivyoandika umerahisisha kuonyesha cheti feki humu, vinginevyo unamsongo wa mawazo!.
 
Hoja ni kwanini Lissu analazimisha kwenda kaburini kwake.

Kila akizuiwa aelewi somo, anataka kwenda kufanya nini?
Wapi amekwambia anataka kwenda kuliona hilo kaburi? Mnazusha habari hiyo wenyewe na kuishabikia.
 
Lissu anatafuta kiki tu!

Kwa nini uende kwenye kaburi la mtu ambaye unadai alitaka kukuua na ambaye ulifurahia kifo chake?

Lissu aache hizi stunts za bei rahisi.

Au kaishiwa sera?
Kwa maelezo yako ni kuwa " lisu alidai magu alitaka kumuua"
Hata wew unaweza kutuambia Nani aliratibu jaribio la mauaji ya lisu? Tena kwenye eneo la viongozi wa serikali ambalo linalindwa na jeshi la serikali pamoja na vyombo vya kiintelejensia!

Je, unajua Nini kilitokea baada ya jaribio Hilo?
Je, ni hatua zipi zilichukuliwa zikiwemo za kiuchunguzi dhidi ya kitendo hicho?
Tunayo majeshi mengi lakini kwa kipindi chote hatukuweza kupatiwa taarifa kamili juu ya tukio Hilo!
Kwa Nini lisu asimuweka magu Kama mratibu wa mauaji yake?
 
Wapi amekwambia anataka kwenda kuliona hilo kaburi? Mnazusha habari hiyo wenyewe na kuishabikia.
Soma topic ya mada, ndio muongozo wetu.

Kama unatafuta mzushi wa habari basi mleta mada alietupa ‘leading statement’.

Nonetheless sio siri Lissu mwenyewe kutamka hadharani mara kadhaa anataka kudhuru kaburi la Magufuli na kuzuiwa.
 
Haya mambo aisee yanakuwa na mitazamo mingi sana, ndio maana wamarekani waliona bora osama majivu yake yatupwe baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…