Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Kuongea na wana diplomasia ni kawaida na hali ya kujiongeza kutafuta support kama mzee wetu walivyofanya na Museveni na yule wa Burundi alikuja kupiga kampeni Kigoma. Simba walienda Cairo kuongeza ushirikiano na Alhly and Zamalek lakini sisi tunacheza ligi ya Voda....
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Polepole nae ana kutana na waandishi wa habari.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu kama mgombea ana Sera yake ya mambo ya nje. Chama chake kwenye ilani yao wameweka pia Sera yao ya mambo ya nje!!

Walengwa wa sera ya mambo ya nje ya Chadema ni nchi rafiki, Hivyo ni lazima awaelezee kwa lugha wanayoielewa Sera yake ya mambo ya nje!!

Kwa hiyo Lissu na Chadema wako sahihi kukutana na mabalozi leo!
 
Mambo mnayoyajua ni "piga spana J.P.M" , "Ni Yeye" "Fisiemu" NEccm" PoliCCM" pekee.

Lakini masuala ya maendeleo hakuna.

Watu hamjui faida ya Usafiri wa anga,kweli??

Daah..Inasikitisha sana.
Mkuu, Tunajua faida ya usafiri wa anga kuliko wewe. Ujio wa ndege zenu imekuwa gharama zaidi kwa mwananchi.

Ieleweke kabla ya ndege za Magufuri, usafiri wa anga ulikuaepo Tanzania.

Pia, Usafiri wa anga kabala ya Ndege za Magufuri ulikuwa nafuu zaidi kwa Mtanzania.Mashirika ya ndege yalikuwa kadhaa,soko la ushindani lilipelekea Mwananchi kunufaika na bei.

Baada ya Ndege za Magufuri kununuliwa,mashirika mengine ya ndege yamehujumiwa,sasa hayapo. Gharama ya usafiri huu umekuwa ghali zaidi.
 
Go TL. Go... You are already presidential. Hii ni kwa wanaozungumza Kiingereza tu. Hao wengine wanahitaji kutafsiriwa! Waendelee tu huko Njombe.
Hahhahaha kwamba wewe ndo umeongea kiingereza?

Kajifunze lugha ya watu vizuri usiwaaibishe wenye lugha yao
 
Tume na polisi wapo kutekeleza majukumu yao.

2.Polisi wapo kuhakikisha amani na usalama unadumishwa katika nchi hii
so,Mtu yeyote wa chama chechote atapoonekana anaenda kuivunja amani ya nchi kwa njia ya uchochezi,matusi,ushawishi na mengine yanayoendana na hayo lazima awe responsible pia hata kama wanasema siasa inahitaji kifua/uvumilivu wa hali ya juu.

N.B Kuijua|kusoma sheria kamwe kusikufanye ujione upo juu ya sheria.

Mkuu,ebu tusijifanye vipofu, Tatizo liko hivi.
Magufuri na Lissu ni wagombea wa kiti cha Urais wa Jamuhuri.

Wote wawili wanazo ratiba rasmj za kampeni zinazoratibiwa na Tume.

Magufuri akitoka kwenye mkutano A ( ulio rasmi kwenye ratiba) kwenda mkutano B ( ulio rasmi kwenye ratiba) humo njiani hufanya mikutano barabarani ( hisiyo kwenye ratiba rasmi) kuwasalimia na kuomba kura (Kwa wananchi waliomsimamisha barabarani). Polisi wetu hawana shida naye kuwa kwanini afanye mkutano husio kwenye ratiba.Hali ni hivyo pia kwa Samia (Mgombea mwenza CCM)

Upande wa pili, Lissu akitoka mkutano A (ulio rasmi kwenye ratiba) kwenda mkutano B ( ulio rasmi kwenye ratiba) Humo njiani anafanya/anajaribu kufanya mikutano (Hisiyo rasmi kwenye ratiba) Kusalimia na kuomba kura kwa wananchi ( waliomsimamisha) Polisi wetu hukataza na kupiga mabomu.Hali ni hiyo kwa Mwalimu (Mgombea mwenza CHADEMA).

Sasa wewe nieleze ni haki?.Sirro awakataze wote wawili kufanya mikutano hisiyo rasmi au awaruhusu wote wafanye mikutano hiyo.
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Kumbe kikao cha warundi na meko kilikuwa sahihi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
policcm wanaweza mzuia na kumkamata
 
Mbona mnaweweseka tulieni dawa iwaingie

Tundu wanyooshe tu fisi hawa
Mfano Sasa:
....... Mkutano uwe wa kuwahahakikishia kauli kuwa atakapokuwa Rais Biashara ya Ushoga itakuwa ni part of right of Human Being 😅🤣🤣🤣🤣.
Tundu Lissu kukubalika kwake ni 4.6% hivi kweli Kabisa ana Malengo ya kushinda Uchaguzi au kuwafurahisha waliomtuma.
Kuna Mwingine hapati hata Jimbo moja Mwaka huu, maana Wananchi wa Jimbo lake wametangaza kumpiga chini rasmi.
 
Khaaa, ila Tundu kichwa tukubali, once you want to argue/interact with him, jipange, otherwise atakuaibisha hadharani.. 😅, He knows exactly what he is doing, but amekuja kipindi kibaya, JPM will win ingawa kwa my early prediction si kwa kura nyingi like i was thinking, meaning will win with narrow margin, but anything is possible under the Sun, never rule out this guy..!! 😅 CCM tumejipanga kisawa sawa..!!
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Utaelewaje na wewe akili yako iko kwenye kibuyu hapo Lumumba umebakishiwa fuvu tu.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuna Sheria au pongamizi la kuongea na mabalozi wakati wa kampeni.
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Unatia huruma sana.
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Bila hao mabalozi unadhani utapewa mkopo kutoka nchi zao kwa kununulia dawa na kuongezea budget yenu?
 
Back
Top Bottom