Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Ujue ccm makando kando yao yamekuwa yakibadilika sio ndo yale yale...usilaumu tu
 
Wameanza Jana Baada ya sisi Wana jamii forums kuwakomalia walikuwa wakipiga porojo tu tukawakomalia humunkuwa Hakuna acheni ujinga ndio waneanza kuzitoa

Mbagala walipiga porojo tu
Huwezi kuwa na hoja za kusikilizwa wewe na wana Lumumba wenzako !
 
Tutaweka unachokitaka kwa mtiririko lakini kamwe hatutaacha kuweka asilimia za makadirio ya wachambuzi
 
Tundu Lissu apewe muda wa kutosha Jukwaani na wasemaji wengine.Tunatoka uwanjani tukiwa bado na kiu
 
Wagombea Ubunge wa Upinzani jimbo la Segerea inabidi wakae chini na kukubaliana.Yupo Mbarala Maharagande (ACT) hiki kichwa ni mtu na nusu.Yupo John Mrema (CDM) huyu ni jeshi kamili.Hawa watu inabidi wakubaliane mmoja ndio agombeee
 
Matapeli ninyi Moshi Godbless Lema anasema Leo Lisu anatikisa Arusha mjini viwanja vya unga LTD atajigawaje Wakati Mkutano muda Ni ule tusaidie mleta mada
Chadema mumebobea kwenye uongo
Wewe utakuwa umelala na hang over za rushwa ya ccm kule Dodoma. Arusha ni kesho jumatatu
 
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
Wewe jinga kweli. Kwani hizo ndege zimenunuliwa kutoka mfukoni mwa ccm? Hizo ni hela za watanzania akiwemo Tundu Lissu.
 
Ulitaka kuhudhuria kote?
Matapeli ninyi Moshi Godbless Lema anasema Leo Lisu anatikisa Arusha mjini viwanja vya unga LTD atajigawaje Wakati Mkutano muda Ni ule tusaidie mleta mada
Chadema mumebobea kwenye uongo
 
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
Nunueni za ccm mzipake rangi ya kijani, alafu uje hapa kutafuta abiria!
 
CDM wanafanya kampeni kumwaga sera kwa wananchi wengine mtaa wa saba wako kwenye fiesta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…