Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu.
Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii.
Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo.
Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi angeitwa Nabii leo hii.
Muujiza wa kunusurika kifo kwa risasi kina pigilia msumari wa mwisho na kuitetea hoja ya kuwa Tundu Lisu angekuwa Nabii.
Manabii wengi kama sio wote walishagombana na Dola na serikali kwa kutetea haki.
Nabii Ibrahim alinusurika kuuawa na Mfalme Nimrodi, akawekwa mpaka kwenye tanuru la Simba,
Daniel aliwekwa kwenye Tundu la Simba.
Yeremia na wenzake.
Yohana mbatizaji
Yesu wa Nazareth yeye ilifikia hatua akauawa.
Yusufu alishawekwa Jela.
Musa alikorofishana na Farao
Lisu kashakaa mahabusu mara kibao.
Nusu amenusurika kuuawa.
Kiufupi Lisu kwa maisha ya zamani ambapo elimu ya dini na imani ndio ilikuwa tafsiri ya mambo mengi. Leo hii tungemsoma kama Nabii Tundu Lisu.
Najaribu kufuatilia kauli zake hata akiwa katika shinikizo.
Haogopi.
Ni jasiri.
Anamsimamo.
Anamtaja Mungu katika nafasi ya haki.
Jambo moja ambalo linanishangaza kwake ni kutogopa hasimu wake.
Kutokuwa tayari kumuangukia adui yake.
Tunataka tuone mwisho wa mambo haya. Kwa kweli yanashangaza.
Jumatatu njema.
Mungu awaongoze