Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #41
Sema kwa maisha ya sasa ndo Nabii kabisa!
Leo hii Lisu akitoka akaanzisha kanisa atawapata wengi kuliko ht Mwamposa
Watu aina ya Lisu ni ngumu kupata wafuasi wa kiimani wanaopenda miujiza na mafanikio
Abaki hukohuko kwenye ukombozi wa kifikra na kisiasa