TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Tunaongozwa na mburura ambaye hata hajui ana elimu gani.Na tutaenda kwenye level za Somalia kiutani utani
Tunaongozwa na mburura ambaye hata hajui ana elimu gani.Na tutaenda kwenye level za Somalia kiutani utani
Uzuri ni kwamba kundi kubwa la vijana halina cha kupoteza, hawana kazi, familia au nyumba hivyo kikinuka Kitanuka kweliTunaongozwa na mburura ambaye hata hajui ana elimu gani.
ee eeh eeh ehh,
kumbe tena mambo ni mazito namna hiyo aise gentleman?
hivi usenge sio uovu kweli?![]()
Chawa mkubwa wewerelax bas muerevu![]()
calm down nyumbuChawa mkubwa wewe

si hawa wa jinsia moja kuoana?Hao ndugu zako kina Mwamposa, sijui makanisa ya Yenu ya SDA na madhehebu kama hayana uwezo wa kukemea maovu ujue ni ukanjanja tuu.
Maana hawafuati vilivyomo kitabuni.
Kuhusu usenge, kwa maana ipi?

si hawa wa jinsia moja kuoana?![]()
Mapigwa miti tulizeni jicho muda wenu umefika
Katikise kiuno kwenye makorido ya Lumumba wewe bwabwaHuwa mnawaza ujinga tupu
Tukuulize wewe mpigwa mitiee eeh eeh ehh,
kumbe tena mambo ni mazito namna hiyo aise gentleman?
hivi usenge sio uovu kweli?![]()
Pigwa miti kwenye makorido ya Lumumbarelax bas muerevu![]()
Lissu ni nabii mkubwa sana.Hamjambo!
Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu.
Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii.
Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo.
Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi angeitwa Nabii leo hii.
Muujiza wa kunusurika kifo kwa risasi kina pigilia msumari wa mwisho na kuitetea hoja ya kuwa Tundu Lisu angekuwa Nabii.
Manabii wengi kama sio wote walishagombana na Dola na serikali kwa kutetea haki.
Nabii Ibrahim alinusurika kuuawa na Mfalme Nimrodi, akawekwa mpaka kwenye tanuru la Simba,
Daniel aliwekwa kwenye Tundu la Simba.
Yeremia na wenzake.
Yohana mbatizaji
Yesu wa Nazareth yeye ilifikia hatua akauawa.
Yusufu alishawekwa Jela.
Musa alikorofishana na Farao
Lisu kashakaa mahabusu mara kibao.
Nusu amenusurika kuuawa.
Kiufupi Lisu kwa maisha ya zamani ambapo elimu ya dini na imani ndio ilikuwa tafsiri ya mambo mengi. Leo hii tungemsoma kama Nabii Tundu Lisu.
Najaribu kufuatilia kauli zake hata akiwa katika shinikizo.
Haogopi.
Ni jasiri.
Anamsimamo.
Anamtaja Mungu katika nafasi ya haki.
Jambo moja ambalo linanishangaza kwake ni kutogopa hasimu wake.
Kutokuwa tayari kumuangukia adui yake.
Tunataka tuone mwisho wa mambo haya. Kwa kweli yanashangaza.
Jumatatu njema.
Mungu awaongoze
Nyakati ngumu ndizo huwanyanua nabaii na mashujaa!Upuuzi wa chama dola ndio umemu elevates Lissu kuwa hero wa zama hizi, hila zao chafu zenye nia ovu bado hazijafua dafu ya kumuangusha au kumuharibia kisiasa zaidi tu zimemnyanyua na kuzidi kumpa umaarafu ndani na nje ya nchi kinyume na matarajio yao
Lissu ni nabii mkubwa sana.
Historia inaendelea kuandikwa na vizazi vijavyo vitamsoma hivyo!
Sahihi, naunga mkono hoja yakoNyakati ngumu ndizo huwanyanua nabaii na mashujaa!
TAL ni nabii na shujaa wa Tanganyika!
Ana watoto na jamaa wengi wanaomtegemea. Huyu ni baba wa familia.Natamani sana MamaSamia2025 amhukumu Tundu Lissu kunyongwa, kisha anyonengwe, nchi ivae sura mpya
Sema kwa maisha ya sasa ndo Nabii kabisa!Hamjambo!