Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Sukuma gang walaaniwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh...Safi sana kamanda Lisu. Lisu nakuaminia Sana. Karibu sana nyumbani kwako Tanzania. #TogetherWeCan.
Nakumbuka ulisisitiza mara nyingi sana wakati wa kampeni 2020 kwamba " mwambieni Magufuli asicheze na uchaguzi huu". Magufuli akapuuza na sasa yuko jehanamu.
Hutaki?Mmmmh...
Hawa hawatakusaidia lolote ww shituka serikali hii na hao wote ni kitu kimoja. Ni vyema ukaanza kujipanga jinsi ya kujikomboa kifikra wewe mwenyewe.Safi sana kamanda Lisu. Lisu nakuaminia Sana. Karibu sana nyumbani kwako Tanzania. #TogetherWeCan.
Nakumbuka ulisisitiza mara nyingi sana wakati wa kampeni 2020 kwamba " mwambieni Magufuli asicheze na uchaguzi huu". Magufuli akapuuza na sasa yuko jehanamu.
Hapa ndiyo mwisho wangu wa kujikomboa. Kama unawashwa washwa jikune ukishindwa tafuta wajanja wakukuneHawa hawatakusaidia lolote ww shituka serikali hii na hao wote ni kitu kimoja. Ni vyema ukaanza kujipanga jinsi ya kujikomboa kifikra wewe mwenyewe.
Alikimbilia kusiko julikana baada ya kuwa mshukiwa wa kwanza kwenye kesi ya maauaji aliyosababisha mara tu baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa huko Rorya ikiwemo ya kaka yake. Inaelezwa kuwa aliamua kushambulia baadhi ya ndugu zake baada ya kuhisi kuwa hawakumpigia kura na walikuwa wanafiki kwake.Wenje pia hayupo?sikujua
Inawezekana alikimbia. Kaka yake aliuliwa 2020 wakati wa uchaguzi na hamna mtu alichukuliwa hatua. Inawezekana ilimwogopeshaWenje pia hayupo?sikujua
Cheki hii mitanzania ATA ikitiwa makofi inasubiri Lissu awasemeheNi kama upinzani umekufa nchi hii, warudi tu waongee kwa niaba yetu tusiokuwa na sauti
Chadema wameigeuza wanasema jiwe ndo kammaliza kaka yake baada ya kumkosa yeye. Utadhani huyo wenje alikua sijui ni nani kwenye hii nchi mpaka atafutwe kuuawa. Yaani wewe ukiwa muovu kwenye hii nchi kimbilia CDM wanakusafisha na dodoki, unarudi unakua mpya kabisa. Mifano ya kina nyalandu ipo, sasa hivi hakuna wa kumgusa.Alikimbilia kusiko julikana baada ya kuwa mshukiwa wa kwanza kwenye kesi ya maauaji aliyosababisha mara tu baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa huko Rorya ikiwemo ya kaka yake. Inaelezwa kuwa aliamua kushambulia baadhi ya ndugu zake baada ya kuhisi kuwa hawakumpigia kura na walikuwa wanafiki kwake.
Aminachadema ya wote wenye akili!
Sanaa inapendeza mno.Taifa tukiongea lugha moja ni afya sana
Umesema ukweli, CDM ni jiko la kupika uwongo.Chadema wameigeuza wanasema jiwe ndo kammaliza kaka yake baada ya kumkosa yeye. Utadhani huyo wenje alikua sijui ni nani kwenye hii nchi mpaka atafutwe kuuawa. Yaani wewe ukiwa muovu kwenye hii nchi kimbilia CDM wanakusafisha na dodoki, unarudi unakua mpya kabisa. Mifano ya kina nyalandu ipo, sasa hivi hakuna wa kumgusa.
Falsafa za Mbowe na Lissu kwa sasa haziendani tena , kilichobaki ni kuheshimiana.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya.
Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA (Bavicha) Mkoani Arusha, Mei 21, 2022 wamesema siku ya kurejea itatangazwa na watapokewa kwa uwazi.
Akizungumza kupitia mtandao, Lissu amesema wamekuwa wakiahidi kurejea nchini mara kadhaa lakini kuna vitu vichache bado havijakaa vizuri.
"Lazima tutarejea nchini, tumekuwa tukiahidi kurudi lakini kuna vitu vidogo kuhusiana na masuala ya usalama wetu ila tutakuja tumechoka kukaa ugenini," amesema Lissu.
Amesema siku ya kurejea nchini itatangazwa na watakuwa na mkutano na wananchi na wakifika wataendelea na kazi ya kuimarisha chama kupitia mikutano ya hadhara na Katiba Mpya.
"Mimi na Lema tutarudi pia Wenje na wengine kwa sababu mnajua mazingira tuliyoondokea nchini," amesema
Hata hivyo Lissu amewataka vijana wa CHADEMA kutambua kuwa bado sheria nyingi zilizopitishwa na utawala wa Serikali ya awamu ya tano hazijafutwa.
"Sheria kandamizi bado zipo ila sasa Rais Samia anajitahidi kurejesha mahusiano lakini hatuwezi kujihakikishia usalama wa kufanya siasa bila kuendelea kuzungumza," amesema.
Amesema anaunga mkono jitihada ambazo anafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanza mazungumzo na viongozi wa CHADEMA ili kurejesha mahusiano mazuri katika Taifa.
Aiseee Kayafa huko aliko....Jiwe alipomkosa akammaliza kaka yake
Dah....kwani wamekwambia wao hawana njaa? 🤭🤣🤣🤣Ni kama upinzani umekufa nchi hii, warudi tu waongee kwa niaba yetu tusiokuwa na sauti
Rafiki, umesoma ulichokiandika? Hapa ni jf na siyo fb. Kama kuandika mwenyewe ni hivi haiyumkini ni mfuasi mtiifu wa ccm kiasi kwamba ulikimbia shule Kwa kunogewa na t-shirt na kofia za kijani! Pole Sana!Cheki hii mitanzania ATA ikitiwa makofi inasubiri Lissu awasemehe