Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

Asitulete maropoko maji taka kisiasa, watu tunajenga nchi ya asali Kwa sasa
 
Huu uzi ni wa makasiriko tu.... Kila anae comment lazima afuatiwe na makasiriko tu hata baada ya comment yangu hii Kuna mtu atakuja na makasiriko Yale hapa.
 
Quote ya pili ya mwezi 2/2019 ndio ilitakiwa iwe namba 1 kisha iwe ya kwanza iwe namba 2 maana ni ya mwezi 12/2019-ambapo alisema asaidie arudi.
Mwaka 2020 alirudi na kugombea,baada ya kuwa hatarini akaondoka tena.Hiyo quote ya mwisho anaelezea kuwa yeye na Lema wapo uhamishoni 2022.

labda tukuulize wewe hoja yako ni nini has a?????
 
Siasa na wanasiasa

Changamoto ni kwamba hii fani ha siasa huwa wanafanana awe upinzani au tawala wote wanakuwa kama mapacha wanaofanana

Ukitaka kuamini hilo angalia ndani ya vyama hvyo vya siasa kama usultan hakuna yaani mtu akifanikiwa kuwa mwenyekiti au katibu kuachia kiti kazi sana

Na huwa wanajitahidi kuhaminisha wafuasi wao kuwa bila wao hakuna lolote.
 
CCM imetufanya turudi kuishi maisha ya miaka ya 70, mwaka 2022 nakosa umeme kwa masaa 12 kweli? unajua uvumilivu ikizidi sana inakuwa ni ujinga.
Uvumilivu ukizidi sana unakuwa ni ujinga
 
Siasa na wanasiasa

Changamoto ni kwamba hii fani ha siasa huwa wanafanana awe upinzani au tawala wote wanakuwa kama mapacha wanaofanana

Ukitaka kuamini hilo angalia ndani ya vyama hvyo vya siasa kama usultan hakuna yaani mtu akifanikiwa kuwa mwenyekiti au katibu kuachia kiti kazi sana

Na huwa wanajitahidi kuhaminisha wafuasi wao kuwa bila wao hakuna lolote.
Tabu sana😂jambo la kusikitisha kuona kijana anaumizwa au kuuliwa kwa kuwafatisha hawa jamaa
 
Back
Top Bottom