Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

Unataka urais alafu unakuwa mwoga wa kufa kila cku usalama wkt sasaivi nchi iko salama mm anaupiga mwingi ktk demokrasia na maendeleo muhimu kauli zenu za kutishia serikali muache mara moja

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Sina mengi ya kuandika. Nitaziacha quotes kwenye picha zizungumze
956335D1-18B2-4295-8862-4A830F36C92B.jpeg
C34620F2-E57E-45DF-96E1-C2B2635CDD07.jpeg
841A13EA-0FD6-4423-8C82-1E4D96130B25.jpeg
3AB32FA8-AE47-4DCE-B9E4-44E3CE4AD397.jpeg
 
Tafuta hela ununue jenereta na uchimbe kisima hapo kwako.

Maji shida,umeme shida we na Lissu, mwenzio yuko ulaya anakula maisha watoto wanasoma shule bora

Haijalishi uko chama gani.kujadili mtu asiyekula kodi yako au asiyeongoza nchi ni kupoteza muda
 
Tafuta hela ununue jenereta na uchimbe kisima hapo kwako.

Maji shida,umeme shida we na Lissu, mwenzio yuko ulaya anakula maisha watoto wanasoma shule bora
Nyinyi wapumbavu ndo huwa mnafeli mitihani kwa ujuaji. Soma uelewe kinachozungumziwa. Montalizadi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom