Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

Mimi binafsi sijaelewa ni usalama gani wanaotaka kuhakikishiwa.
 
Mmmmh...
 
Hawa hawatakusaidia lolote ww shituka serikali hii na hao wote ni kitu kimoja. Ni vyema ukaanza kujipanga jinsi ya kujikomboa kifikra wewe mwenyewe.
 
Hawa hawatakusaidia lolote ww shituka serikali hii na hao wote ni kitu kimoja. Ni vyema ukaanza kujipanga jinsi ya kujikomboa kifikra wewe mwenyewe.
Hapa ndiyo mwisho wangu wa kujikomboa. Kama unawashwa washwa jikune ukishindwa tafuta wajanja wakukune
 
Wengi walikimbia bwana yule ali dhamiria kuangamiza wapinzani wote . yan kama ugomvi Dalasa basi mwalim aliingilia kati mambo yameisha saizi.
 
Wenje pia hayupo?sikujua
Alikimbilia kusiko julikana baada ya kuwa mshukiwa wa kwanza kwenye kesi ya maauaji aliyosababisha mara tu baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa huko Rorya ikiwemo ya kaka yake. Inaelezwa kuwa aliamua kushambulia baadhi ya ndugu zake baada ya kuhisi kuwa hawakumpigia kura na walikuwa wanafiki kwake.
 
Chadema wameigeuza wanasema jiwe ndo kammaliza kaka yake baada ya kumkosa yeye. Utadhani huyo wenje alikua sijui ni nani kwenye hii nchi mpaka atafutwe kuuawa. Yaani wewe ukiwa muovu kwenye hii nchi kimbilia CDM wanakusafisha na dodoki, unarudi unakua mpya kabisa. Mifano ya kina nyalandu ipo, sasa hivi hakuna wa kumgusa.
 
Umesema ukweli, CDM ni jiko la kupika uwongo.
 
Falsafa za Mbowe na Lissu kwa sasa haziendani tena , kilichobaki ni kuheshimiana.
 
heki hii mitanzania ATA ikitiwa makofi inasubiri Lissu awasemehe
Cheki hii mitanzania ATA ikitiwa makofi inasubiri Lissu awasemehe
Rafiki, umesoma ulichokiandika? Hapa ni jf na siyo fb. Kama kuandika mwenyewe ni hivi haiyumkini ni mfuasi mtiifu wa ccm kiasi kwamba ulikimbia shule Kwa kunogewa na t-shirt na kofia za kijani! Pole Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…