Tundu Lissu, Lema watangaza mpango wa kurudi Nchini, Lissu ataja kinachomkwamisha

Unataka urais alafu unakuwa mwoga wa kufa kila cku usalama wkt sasaivi nchi iko salama mm anaupiga mwingi ktk demokrasia na maendeleo muhimu kauli zenu za kutishia serikali muache mara moja


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta hela ununue jenereta na uchimbe kisima hapo kwako.

Maji shida,umeme shida we na Lissu, mwenzio yuko ulaya anakula maisha watoto wanasoma shule bora

Haijalishi uko chama gani.kujadili mtu asiyekula kodi yako au asiyeongoza nchi ni kupoteza muda
 
Tafuta hela ununue jenereta na uchimbe kisima hapo kwako.

Maji shida,umeme shida we na Lissu, mwenzio yuko ulaya anakula maisha watoto wanasoma shule bora
Nyinyi wapumbavu ndo huwa mnafeli mitihani kwa ujuaji. Soma uelewe kinachozungumziwa. Montalizadi mkubwa wewe
 
Kwani akirudi umasikini wako utakoma?! Pigania maisha yako mwenyewe usitegemee mtu. Kama ni katiba mpya toka mbele wewe upambane acha kumtegemea Lissu.
Huyo Lissu amepigwa mchana kweupe hata hamkupanua midomo
Wewe huwa una low thinking of very minimal order
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…