Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Kibopa niko humu nawe miaka nenda miaka rudi, leo ndoto yako inaenda kutimia. [emoji39]Walimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.[emoji1431]
🤣🤣🤣🤣🙄 hii imeendaaKibopa niko humu nawe miaka nenda miaka rudi, leo ndoto yako inaenda kutimia. [emoji39]
NakupendaWalimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.🙏🏽
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849] hii imeendaa
Shikamoo mwalimu mkuu! (zamani ukienda uchagani huko migombani, mwalimu alikuwa anasalimiwa ''shikamoo mwalimu'' hata na watu wazee). Wengi ya waalim wa kike walioolewa na wanasiasa zamani. Kipindi hicho wanawake wengi walikuwa hawajainukia kwenye sekta nyingine kama ilivyo sas. Pia waalim wa kipindi hicho walikuwa ni watu wa mfano wa kuigwa, kitabia na kielimu. Na zaidi walikuwa wanachangia kipato cha familia kwa mshahara.Mimi ni Ke mwalimu mkuu
Anza kutimiza kwanza ndoto ya kuwa MwalimuWalimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.[emoji1431]
Kwahiyo wote ni ke na yeye si mama kizimkazi auMimi ni Ke mwalimu mkuu
Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.
Since 2013Anza kutimiza kwanza ndoto ya kuwa Mwalimu
Walimu wa sikuhizi tumekengeuka balaaShikamoo mwalimu mkuu! (zamani ukienda uchagani huko migombani, mwalimu alikuwa anasalimiwa ''shikamoo mwalimu'' hata na watu wazee). Wengi ya waalim wa kike walioolewa na wanasiasa zamani. Kipindi hicho wanawake wengi walikuwa hawajainukia kwenye sekta nyingine kama ilivyo sas. Pia waalim wa kipindi hicho walikuwa ni watu wa mfano wa kuigwa, kitabia na kielimu. Na zaidi walikuwa wanachangia kipato cha familia kwa mshahara.
Mkuu punguza sifa Mwalimu wake wa kwanza wa English sio Regina
Kamati ya mashosti na Majirani tumempitisha lukesam .....ampeleke babydady Goma🤣🤣🤣
Kilobaki atume bank statement tujiridhishe ni kibopa kweli au kilofa🤣
Maisha mkuu. Siyo waalim tu bali ni jamii yote. Ni hivi: Bongo serikali ya CCM imeipeleka nchi kwenye njia ya maangamizi, hivyo maisha yamevurugika kila mahali. Tatizo ni kwamba wananchi hawaoni correlation kati ya ubovu wa maisha na uongozi. Na mbaya zaidi, badala ya kupigana ili kutatua tatizo letu ambalo ni uongozi, kila mtu anajaribu kutumia njia anayoijua kufanikisha maisha yake bila kujua kuwa njia sahihi ni kutatua tatizo la msingi kwanza.Walimu wa sikuhizi tumekengeuka balaa
Hakika....mfumo wa uongozi wa sasa ni mbovu mnoMaisha mkuu. Siyo waalim tu bali ni jamii yote. Ni hivi: Bongo serikali ya CCM imeipeleka nchi kwenye njia ya maangamizi, hivyo maisha yamevurugika kila mahali. Tatizo ni kwamba wananchi hawaoni correlation kati ya ubovu wa maisha na uongozi. Na mbaya zaidi, badala ya kupigana ili kutatua tatizo letu ambalo ni uongozi, kila mtu anajaribu kutumia njia anayoijua kufanikisha maisha yake bila kujua kuwa njia sahihi ni kutatua tatizo la msingi kwanza.
Ila MamaSamia2025 ana hela bwana🤣🤣🤣Achague moja, watoto waende kusoma Norway na baba watoto aende Goma au Gaza au yeye atembezwe huko Nanjilinji na Kizimkazi akiwa amevaa t-shirt kubwa la #MguuKwaMguuNaMama hadi alemae na MamaSamia2025
Ila MamaSamia2025 ana hela bwana🤣🤣🤣
Shida siku hizi hamna kuvumiliana, watu wanaogopa kuinvest in their spouse's dreams.....Maisha mkuu. Siyo waalim tu bali ni jamii yote. Ni hivi: Bongo serikali ya CCM imeipeleka nchi kwenye njia ya maangamizi, hivyo maisha yamevurugika kila mahali. Tatizo ni kwamba wananchi hawaoni correlation kati ya ubovu wa maisha na uongozi. Na mbaya zaidi, badala ya kupigana ili kutatua tatizo letu ambalo ni uongozi, kila mtu anajaribu kutumia njia anayoijua kufanikisha maisha yake bila kujua kuwa njia sahihi ni kutatua tatizo la msingi kwanza.