Tundu Lissu: Mama Lowassa ni mwalimu wangu miaka 41 iliyopita

Tundu Lissu: Mama Lowassa ni mwalimu wangu miaka 41 iliyopita

Walimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.🙏🏽
Nipo kibopa mtarajiwa hapa. Leo mkeka ukitiki nitakuwa kibopa. Tunaweza anza yajenga mapema. Maana nina plan ya kuingia kwenye siasa. Naweza kuja kuwa raisi ukawa 1st lady🤣😀
 
Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.
Asante kwa taarifa
 
Pamoja na mimi.....
Wakati ule tulikuwa tunakula vizuri...nakumbuka supu na mikate kama dinner....wali nyama maharage meupe....
 
Back
Top Bottom