Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.

Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.

Chanzo: Ukurasa wake wa twitter

=====

UPDATE

​
 
Mbowe amekuwa mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.

Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
 
Kwa yanayotokea Dodoma kwa viongozi tena ndani ya makazi yao rasmi yenye ulinzi wa kutosha, hii ni wazi kuwa jiji hili jipya si sehemu salama kwa kiongozi yeyote yule, awe wa upinzani ama chama tawala.

"Mark my words" tuelekeapo kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka huu.
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
FB_IMG_1591384155354.jpg
 
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.

Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter

Picha ya Mbowe akiwa hospitali baada ya kujeruhiwa:

View attachment 1472954
Mbinu za kutembeza Bakuli zimeanza tena.
 
Lissu hizo gharama za kukaa ulaya unataka kuzilipa kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu pale utakapoingia ikulu.
Hatukuhitaji mtu kama wewe awe rais
 
Back
Top Bottom