Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,337
- 3,436
Unaaibisha familia yakoMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Unaaibisha familia yakoMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
kutumika ni utumwa mbaya sana tafuta kazi nyingne ya kufanya, mwishowe watakutumia hata huko uani.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Inawezekana mkuu na hivi nchi yetu haina serikali,angalia na wewe usije ukalimwa mapanga watu wakachukua hiyo nyumba uliyoachiwa na marehemu mmeoMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Alaaniwe na uzao wake kama umechukia katafute dume maaluni nyie.Huna hayo mamlaka ya kumlaanisha Mtu! Acha Jazba! Tulia Dogo.
acha totoMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Mbona Jana kaongea vizuri,kwamba uchaguzi wa mwaka huu utaamua Kama nchi hii wanaishi watu au maiti.Mtu anayepumua,anayejijari na mwenye utashi kuongozwa na Magufuli siyo kitu rahisiLissu hizo gharama za kukaa ulaya unataka kuzilipa kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu pale utakapoingia ikulu.
Hatukuhitaji mtu kama wewe awe rais
Usiseme hivyo. Je, unaijua nafasi yake katika ulimwengu waa roho? Unamaanisha atulie Watanzania wakiuzwa? au vice versa is true. Mimi naamini kumlinda Mtanzania ni kitu cha muhimu kuliko vyote. Nchi yetu ni tajiri sana, tusiruhusu kundi la watu wajinga kabisa waharibu amani tuliyopewa na Mungu itoweke kwa ajili ya maslahi binafsi. Mtanzania kushambuliwa na mtu yeyote yule iwe kwa sababu yoyote ile, liwe ni jambo lisilokubaliwa na ni jambo lisilolokubalika. TANZANIA NI MUHIMU KULIKO MTU YEYOTEHuna hayo mamlaka ya kumlaanisha Mtu! Acha Jazba! Tulia Dogo.
Sawa binti nchi yenu hiii n awamu yenu hiiiHawa jamaa wamezidi uhuni.
Haihitajiki tafiti kujua watz wengi ni maiti zinazotembea. Yaani hata uwaminye vipi wao wapo kimya tu kama mazezeta vileMbona Jana kaongea vizuri,kwamba uchaguzi wa mwaka huu utaamua Kama nchi hii wanaishi watu au maiti.Mtu anayepumua,anayejijari na mwenye utashi kuongozwa na Magufuli siyo kitu rahisi
#Oposition lives matterNakipongeza chama Cha Mazezeta kwa kazi nzuri ya kuharibu amani ya nchi hii.
Mwanakulitafuta Mwanakulipata
Huyo Lissu amembeep Mwenyekiti siyo? Ngoja auone moto sasaNimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.
Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
Picha ya Mbowe akiwa hospitali baada ya kujeruhiwa:
View attachment 1472954
Unajifanya husikii sio?Sasa mtu umepigwa nje ndani binti bado unahitaji tena?naona umempenda Nondo sana inaonekana alijipoza ulipokuja mjini ukitokea kijijini kwenu Geita binti kipozea wa Nondo
Chadema mmezidi.kuhuniana, kipindi Fulani mlimpiga Rwakatare, mlinzi wa Dr. Slaa na jaribio la sumu kwa @ ZittoAlafu utawasikia wakisema "tumtangulize Mungu"
We binti tuliza mshono basiUnajifanya husikii sio?
Nendeni mtaani sasa, sio kubaki nyuma ya keyboard.#Oposition lives matter