Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Mwenyenzi Mungu amekupa akili ya kutosha sana, lakini kwa makusudi au labda kwa kutokujua, unatumia kiasi kidogo sana cha hiyo akili! Na hata hicho kiasi kidogo unachotumia, unakitumia vibaya!Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.