Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Mbowe amekua mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.

Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
Mkuu busara inatoka wp kwa mtu aliyevamiwa ??? unajua maana ya kuvamiwa?? vitu vingine muwe mnalaumu wkt huo kitu kina uhalisia yaani ni Kama alivyovamiwa alitulia tu, si bora hata kajeluhiwa mkuu angeuwawa je
 
Nyie ma-mbwa ya ccm hamna utu na mtu anaweza kujua mnotokea kanda ile..
 
Mtu yupo ulaya snasema atatoa kauli ,Njoo nyumbani acha kuisema nchi vibaya Kua mzalendo ,Tumuunge Raisi wetu Magufuli amefanya mambo makubwa sana kwa Watanzania
Wakamatwe hao wanao piga watu risasi hiyo ni kazi na wajibu wa wakubwa!!
 
Tunahamishwa tu upande tusahau yote aliyosema lisu jana



#Staysafe
 
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.

Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.

Chanzo: Ukurasa wake wa twitter

=====

UPDATE


Sina pumzi zakuandika haya mambo yanatisha sana. Pray for Nation
 
Lissu akili Hana anataka Mabeberu wamsikie mbona jana alitumia kiswahili
 
Ndomana nadhani Membe ni mtu sahihi kupeperusha Bendera ya Ccm,asingekuwa na roho ya kukalia kimya mambo haya!! Kiongozi mkubwa kukaa kimya haya yakitokea maana yake ni kuyaunga mkono mashambulizi dhidi ya washindani wake.

maisha ni furaha kamwe si vita, uchumi ni kazi na maarifa sio mabavu na kushambuliana. Kufananisha wapinzani na nyoka ni kauli mbaya isiyofaa kutamkwa na hata jambazi
Kwa hiyo huna uhakika kama Lisu atashinda.?
 
Mbowe amekuwa mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.

Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
Mshauri aache kusumbua ndoa za watu zitamkosti.
 
Mkuu busara inatoka wp kwa mtu aliyevamiwa ??? unajua maana ya kuvamiwa?? vitu vingine muwe mnalaumu wkt huo kitu kina uhalisia yaani ni Kama alivyovamiwa alitulia tu, si bora hata kajeluhiwa mkuu angeuwawa je
Ni mara ya kwanza amekua harassed?

Acha kutetea ujinga mkuu,jamaa amezidi sana kutumia busara kwa watu wasiotambua thamani ya busara,akiendeleza busara busara zake watamnyoosha sana tu.
 
Tukio hili limekerehesha mioyo ya wengi Sana na Mimi nikiwemo!

Lakini kadri linavyokwenda na kutolewa ufafanuzi wa namna limetokea, basi linazidi kutuchanganya tena na sio kidogo

Na endapo huo ufafanuzi unaotolewa ukawa ndiyo kweli, sjui Sura zetu/zao, tutaziweka wapi,

Kwamba ni bahati mbaya Mzee alikosea mguu kupanda ngazi Kwa sababu ya kupombeka sana, akajikuta amepata swaibu Hilo, kama ni kweli, sjui itakuweje? (,Hii ni Kwa mjibu wa Bunge jioni hii)

Mungu, mpe unafuu mapema mpendwa mwenzetu ili kurejea ktk kulijenga Taifa letu
 
Back
Top Bottom