Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
FB_IMG_1591384155354.jpg
 
Kwamba ni bahati mbaya Mzee alikosea mguu kupanda ngazi Kwa sababu ya kupombeka sana, akajikuta amepata swaibu Hilo, kama ni kweli, sjui itakuweje? (,Hii ni Kwa mjibu wa Bunge jioni hii)
Yaani Bunge nalo liwe sehemu ya upotoshaji?

Mbowe mwenyewe anasemaje, si akili zake ziko sawa ama?

Kunyamazia jambo kama hili kunaweza kuwa na gharama kubwa sana.

Hata sitaki kamwe kuamini kwamba haya unayosema yametamkwa Bungeni ni ya kweli!
 
Mh Tundu Lissu akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya Ujerumani mchana huu ,Amesema kuwa Waliomshambulia Mbowe ni wale waliondoa ulinzi eneo la tukio Jana usiku maana eneo analokaa Mbowe ni nyuma ya nyumba aliyokuwa anaishi yeye Lissu na kuna ulinzi ,Sasa ulinzi ulitolewa na Nani ? Kwanini? Na kwa sababu gani? Source Dochovele Leo mvhans kinaga ubaga.
 
Yaani Bunge nalo liwe sehemu ya upotoshaji?

Mbowe mwenyewe anasemaje, si akili zake ziko sawa ama?

Kunyamazia jambo kama hili kunaweza kuwa na gharama kubwa sana.

Hata sitaki kamwe kuamini kwamba haya unayosema yametamkwa Bungeni ni ya kweli!
Mkuu, na hata sasa bado nasikiliza Bunge, mchangiaji ni Silinde na Anasema hivihivi, kwamba ni pombe
 
Na Hadi camera za alikokoangukia Akiwa chakali amelewa na kutenguka mguu zipo, zinamsubiri yeye aliongea uwongo,

Sio Lijua likali pekee, hata wengine wengi wamasema hivyohivyo
 
Duh....!! Kweli madaraka matamu hadi kuwavunja vunja viungo wenzako!!
 
Taifa letu linakoelekea ni shimoni - kubaya sana
 
Silinde, unasema?

Tuchukulie neno la Silinde kuwa ushahidi?
Na ninapoongea hivi mkuu, sio kwamba kuna mahali nimeegemea, Kwanza hujawahi kujua namna navyomkubali mh Mbowe yeye binafs

Kwa lolote liwalo, sikubaliani na lolote linaloweza kumtokea mh Mbowe na mtu mwingine yeyote madamu ni Binadamu na ana Damu kama Mimi
Nikiruhusu unyanyasaji na kufurahia unyasaji huo Kwa binadamu yeyote,ni kujitia ujinga na kuudharau Utu wangu

Nachukia Kwa yeyote kuonewa au kufanyiwa kitu kibaya,

Ukicheki mchango wangu wa Asubuhi kabla sjajua hichi kinachoendelea kutufikia sasa utagindua kuwa, Utu wa mtu haumo kwenye chama
 
Back
Top Bottom