Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Kila kitu ukikifanya bila kuwa na utulivu wa akiri, huwezi kufanya Kwa weledi,

Kwenye maisha, nimejifunza kuwa, kila utakachokutana nacho, kiwe kinatatiza Sana ufahamu na aakiri pia na hata ni kuumia au kuumizwa, ni vema kuketi na kukitafakari kabla ya kuchukua uamzi wowote, Hilo ndilo hufanywa hasa na wenye IQ kubwa duniani

Na hili linawaboa Sana wasomi wengi wasioruhusu utulivu utawale Kwanza kabla ya kuamua

Sasa kinachokwenda Kutokea juu ya shambulio bandia la Jana, ndicho nachokisema hapa

Kitaumbua vichwa vya wasomi ambao huruhusu akiri zitawaliwe na mhemko kuliko Afya ya akiri kuongozwa na utulivu Kwanza

Sasa haya matamko ya papo Kwa papo, utadhani ni shuhuda wa Tukio, sjajua mtaficha wapi Sura zenu,

Na hili linatosha kabisa kuwa kipimo cha huyu mwenzetu ajipime kama anaweza kuongoza nchi na mihemko aliyonayo
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Yani binaadamu mwenye roho mbaya ktk mwili wake utamjua tuu yani kila Uzi lazima atie fitna
 
Mbowe amekuwa mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.

Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
Heche anaongeaga kikurya
 
Ila unamuhitaji huyo mtenda maovu ambaye sasa anataka kujificha kwa maovu yake mbali mbali nyuma ya muswaada wa kidikteta eti ASISHTAKIWE. Ni maovu gani katenda hadi aweweseke!?

Lissu hizo gharama za kukaa ulaya unataka kuzilipa kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu pale utakapoingia ikulu.
Hatukuhitaji mtu kama wewe awe rais
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Madikteta wote duniani mwisho wao huwa ni mbaya sana, vifo vyao huwa ni vya hovyo hovyo tu. Kejeli na dhihaka zina mwisho wake. Mwenyekiti wetu wa CCM ajifunze kwa Marehemu dikteta mwenzie NKURUNZINZA.
 
Mkuu mbona tokea zamani rais wa JMT hashtakiwi ndani ya Jamhuri
Ila unamuhitaji huyo mtenda maovu ambaye sasa anataka kujificha kwa maovu yake mbali mbali nyuma ya muswaada wa kidikteta eti ASISHTAKIWE. Ni maovu gani katenda hadi aweweseke!?
 
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
 
Huyo Lissu naye toka apigwe risasi akili zake haziko sawa, kajaa visasi tu na hasira ambazo hajui amuelekezee nani, jitu la mahasira etu linataka kuwa rais!! si litaendesha nchi kwa ujingaujinga tu!!
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
 
We nani mpaka umtabirie ujinga Mhe Rais? yaani Mwenyekiti wenu kapiga pombe mpaka kala mweleka kavunja mguu, kwa aibu anadai amepigwa na vibaka!! halafu we dada unakuja hapa unakenuakenua tu na kulaumu serikali bila ushahidi, katafute mume labda utatulia
Amepoteza sifa ya kuitwa mheshimiwa, utawala wake hauna tofauti na ule wa Nduli Idd Amin Dadaa.
 
Hizi busara za Mbowe kuna siku zitamfikisha pabaya
 
Usihangaike na hicho kikaragosi kinachotumika
Nadhani wwe ndo unatumika. Mmefanya kituko cha mwaka. Mwenyekiti kalewa chakarii mnakuja kuleta uzushi kavamiwa na watu wasiojulikana. Mtu kaumia kifundo cha mguu kakodiwa ndege.
 
Back
Top Bottom