Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Una uthibisho wowote wa kuipa nguvu hoja yako?
Ama ni dhana tu?

Kama ni dhana basi usiwe unaandika uharo kama huu.
Mbona unapanic Dogo? Tunawajua kuanzia ninyi Puppets na Mabwana zenu. Take my word propaganda zenu haziapply hapa Tz na mshafel
tenor.gif
 
huyo mwamba hajawahi mwacha mtu salama akijidai kupambana naye, ukimzidisha lazima akukalishe vibaya mno.Kulia utalia sana tu,network kupoteza na hata kuzima kabisa.pole mwenyekiti Ila nakushauri uwe unakwenda kwa step unapokuwa unamtumia huyu mwamba,hana masikhara.
 

Attachments

  • Screenshot_20200609-220305.png
    Screenshot_20200609-220305.png
    111.2 KB · Views: 14
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.

Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.

Chanzo: Ukurasa wake wa twitter

=====

UPDATE

​

Rais wa Jamhuri wa Muungano ametoa neno kuhusu shambukio la Mwenyekiti wetu. Ni lama Chadema ndio chama tawala yaani:
 
Back
Top Bottom