Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.

Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.

Chanzo: Ukurasa wake wa twitter

=====

UPDATE

​

Kaona aongee na kizungu ili habari iwafikie Maboss zake kiurahisi ujanja ujanja huu mpaka lini? Ngumu sana kuwaamini hawa wasanii wa Demokrasia.
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Baada ya kumaliza kupakuliwa na Bwana wako umekuja kuandika uharo
 
Kama ni mzuri kwanini mwandiko wako unafanana na wale wanawake wadangaji wa mjini
Unafananaje mkuu hebu fafanua vizuri.
Basi umepiga ramli zako vibaya... Mimi binti mbichi kabisa.

Jibu swali langu nililokuuliza.
 
Serikali ingemtaka MBOWE asingekuwepo hao ni wahuni wenzie sio JAMHURI YA MUUNGANO
Sio kweli, walikuwa na silaha na walimwambia wangeweza kumuua ila nia ilikuwa labda kumjeruhi ili kulenga kuwaogopesha wapinzani.

Lakini jinsi polisi watakavyoshughulikia hili swala itatosha kutoa jibu la nani amehusika, wala haisumbui ni swala la muda tu.

Tuliona la Lissu lilivyoachwa Solemba na viashiria vingine vilivyofuata na asikamatwe mtu hata mmoja tukapata jibu la nani mshukiwa. Hakuna uhalifu unaoweza kufichika milele.
 
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.

Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.

Chanzo: Ukurasa wake wa twitter

=====

UPDATE

​

Huyu mtu wenu bado anaakili za ukoloni kabisa. Dunia ishahama huko. Atashangaa kuona international community zinaendelea kufanya kazi na TZ huku roho ikimuuma.

Nimecheka Sana kuona ameongea kidhungu ma sponsor wake wajue.

Mwambieni hakuna room yake hapa bongo akae huko huko. Hahah
 
Kijana mdogo kuwa na akili za kimalaya malaya kama wewe ni pigo kwa wazazi wako
We huoni ameji-expose nia yake mapema huyu bwana mdogo ni Angel of death [emoji88] anawaza na kupanga mabaya tu kwa Taifa ...
 
Back
Top Bottom