Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ulaniwe wewe una uzao wako.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Hata kama ni kweli, hii utatokea tu kama serikali imebariki, iko likizo au imefumba macho.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Hawa jamaa wamezidi uhuni.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Usihangaike na hicho kikaragosi kinachotumikaUlaniwe wewe una uzao wako.
Kila ubaya utalipwa .Hawa jamaa wamezidi uhuni.
Ubaya gani?kila ubaya utalipwa .
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Alafu utawasikia wakisema "tumtangulize Mungu"kila ubaya utalipwa .
Mbinu za kutembeza Bakuli zimeanza tena.Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.
Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter
Picha ya Mbowe akiwa hospitali baada ya kujeruhiwa:
View attachment 1472954
Una uthibisho wowote wa kuipa nguvu hoja yako?Mbinu za kutembeza Bakuli zimeanza tena.
Mwenyekiti aache kutumia MTUTU WA BUNDUKI kuongoza nchi, kuna leo na kesho. Shauri yake.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Ulaniwe wewe una uzao wako.