Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Inawezekana mkuu na hivi nchi yetu haina serikali,angalia na wewe usije ukalimwa mapanga watu wakachukua hiyo nyumba uliyoachiwa na marehemu mmeo
 
Kila mtu anazifahamu hulka za Mwenyekiti wetu Magufuli, hana uwezo wa kuhimili changamoto hata kidogo.
 
Lissu hizo gharama za kukaa ulaya unataka kuzilipa kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu pale utakapoingia ikulu.
Hatukuhitaji mtu kama wewe awe rais
Mbona Jana kaongea vizuri,kwamba uchaguzi wa mwaka huu utaamua Kama nchi hii wanaishi watu au maiti.Mtu anayepumua,anayejijari na mwenye utashi kuongozwa na Magufuli siyo kitu rahisi
 
Rais mtarajiwa tundu lissu tunakisubiri, Tanzania citizens lives matter
 
Huna hayo mamlaka ya kumlaanisha Mtu! Acha Jazba! Tulia Dogo.
Usiseme hivyo. Je, unaijua nafasi yake katika ulimwengu waa roho? Unamaanisha atulie Watanzania wakiuzwa? au vice versa is true. Mimi naamini kumlinda Mtanzania ni kitu cha muhimu kuliko vyote. Nchi yetu ni tajiri sana, tusiruhusu kundi la watu wajinga kabisa waharibu amani tuliyopewa na Mungu itoweke kwa ajili ya maslahi binafsi. Mtanzania kushambuliwa na mtu yeyote yule iwe kwa sababu yoyote ile, liwe ni jambo lisilokubaliwa na ni jambo lisilolokubalika. TANZANIA NI MUHIMU KULIKO MTU YEYOTE
 
Mniombee nipo katika vita vya kiuchumi, vita vya kiuchumi ni vita vibaya mno... mniombee!!
 
Mbona Jana kaongea vizuri,kwamba uchaguzi wa mwaka huu utaamua Kama nchi hii wanaishi watu au maiti.Mtu anayepumua,anayejijari na mwenye utashi kuongozwa na Magufuli siyo kitu rahisi
Haihitajiki tafiti kujua watz wengi ni maiti zinazotembea. Yaani hata uwaminye vipi wao wapo kimya tu kama mazezeta vile
 
Huyo Lissu amembeep Mwenyekiti siyo? Ngoja auone moto sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…