Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu

Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"

Pia, Soma:

Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

View attachment 3194129
Kumbe jamaa hana mipango, anatafuta nafasi ili tu kumkomoa Mbowe.

Lissu apunguze kuongea ongea, huyu jamaa hajakua kisiasa.

Inatakiwa anazungumza kidogo na mambo ya msingi, labda hizi nyingine kiaina kunogesha siasa tu.

Anapoelekea sasa ni kama anajizamisha mwenyewe.
 
H

Huyo mtoto wa mjini awamu hii atakwama, chama sio mali yake
Naheshimu sana watoto wa mjini. Wape nafasi hadi pale unapoamini unaweza kumla kichwa.

Watoto wa mjini ni all weather, labda tu kama hujazaliwa ama kuishi mjini ndiyo utawachukulia poapoa.

Mbowe akiamua kimjini mjini, Lissu hatoboi. Labda huu uchaguzi wangernda kuufanyia Ikungi 😂😂😂
 
Ni bora wazinguane mpaka chama kife maana hata uwepo wao kwasasa hauna maana bila katiba mpya na tume huru
 
Wakuu

Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"

Pia, Soma:

Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

View attachment 3194129

Malaria 2 unaona nilichokwambia? Haya ona sasa Lissu kasema mwenyewe.

Acha ubishi wa kijinga.
 
Malaria 2 unaona nilichokwambia? Haya ona sasa Lissu kasema mwenyewe.

Acha ubishi wa kijinga.
Kwa hivyo angalikua CCM angalipingana na Mwenyekiti wake? Lissu anaenda kufutwa kabisa katika harakati za kisiasa za upinzani, atakuwa kama msigwa atakuwa Chauma akirusha makombora kwa Mbowe
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Tundu tunza kauli kaka,

Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara

Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.

Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...

Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?

Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
Nahisi Lissu hakuzaliwa, kunyamaza au kufumbia macho lolote lililo mbele yake. Ni kumzoea tu. Hana madhara ni hulka ya kuzaliwa.
 
Wakuu

Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"

Pia, Soma:

Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

View attachment 3194129
Sasa kama Mbowe hamtaki kibaraka Lisu kwenye chama chake si atoke?

Kwa hiyo nae ndio maana kaamua kugombea Ili kumkomoa 😂😂

Mpaka hapo hakuna chama Bali upuuzi wa kukomoana 😁😁
 
Kitakachotokea kesho, John Mnyika anajiuzulu!
Sasa ubishi unao endelea majibu Lissu ataanza kuyaona
 
Dah inasikitisha sana CCM watawala mpaka wachoke tutarudi miaka hamsini nyuma
 
Tungekuwa na Watanzania Milioni 2 wa aina ya Lissu tungekuwa mbali sana kama Taifa tatuzo ni kwamba hawazidi hata mia mbili ndani ya Bahari ya mazezeta milioni hamsini.
 
Lissu umecheza karata zako vby, huwezi kung'oa Mbowe kwenye kiti hilo sahau iwe kwa kura ama kwa majungu - uwezo huo hunao kwa sasa.

Wakati anakijemga chama wewe ulikuwa unahangaika na uanaharakti wa kutetea wachimbaji wadogo wa madini, kwa hiyo ni vizuri kuheshimu waliyofanya wenzako hasa wakati chama kilipokuwa kichanga kabisa.

Infact mbowe kawekeza kwako zaidi ya 70% ya ulivyo sasa, hata kama uliutaka wenyekiti basi mguu ulianza nao ndugu siyo wenyewe.

Sasa madamu ushayavulia nguo, hakuna namna BOX litazungumza, ila tunakuomba kwa atakayepigwa hakuna kukimbia, Mbowe ni mtu muungwana sana atakupatia Ujumbe wa Kamati Kuu - hata ugombea Urais utapewa kama utakidhi vigezo. Mbowe hanaga roho ya korosho na ndiyo maana ni mtu mwenye mafanikio makubwa.
 
Haiwez kuwa NCCR instantly..
Ila ukata utaitafuna sana CDM huyo jamaa akishinda.

Atapigwa na usaliti huu anouona kwa Mwenyekiti cha mtoto..

Miaka miwil atarudi Belgium..

Kura kwa upinzani zipo za kutosha ila kwa muktadha na wakati ni mwendo wa kupigwa viatu na matokeo Urais ni asilimia 99😂
Atapata ugumu sana, kumbe umeliona hili🤣🤣, isingekuwa mbowe ana mambo meusi kupitia chama angemuachia nafasi lissu halafu angebakia kuwa " mzee wa balaza". Chadema ingekuwa ya moto sana uchaguzi ujao kwakuwa lissu angekiwasha.
Kwa hali ya sasa naona yeyote atakaeshinda atapata ugumu kiaina fulani kuweka mambo sawa.
 
Back
Top Bottom