Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Kumbe jamaa hana mipango, anatafuta nafasi ili tu kumkomoa Mbowe.Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129
Lissu apunguze kuongea ongea, huyu jamaa hajakua kisiasa.
Inatakiwa anazungumza kidogo na mambo ya msingi, labda hizi nyingine kiaina kunogesha siasa tu.
Anapoelekea sasa ni kama anajizamisha mwenyewe.