Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

Source:New star tv!!! News!!! New aaaaaargh,ndum.ku kowa


Ebu twambie Mbunge wa Kalenga ni Tundu Lissu, Mbunge wa Chalinze pia ni Tundu Lissu? Mbona unawaza kama ccm ccm hivi. Uliwahi kupata habari kingozi mmoja mzito alipotembelea Ufaransa aliwahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni maskini wakati kuna raslimali za asili kedekede? Huyo kiongozi alijibu na yeye hajui kwa nini Tanzania ni Maskini.

Tulieni sindano yenu iingie pole pole mwisho wa ccm kufikiri, Kubuni, kuongoza, kushawishi ushafikia mwisho zawadi pekee ya kuwapa ni kuwapumzisha tu kama KANU, UNIP nk
 

ukiwa mtoto wa fisadi huwezi jua uchungu wanao upata wazazi na watoto wa masikini katika nchi hii.
 
binafsi namuunga mkono lissu, serikali ina mapesa mengi ambayo yanatumika hovyohovyo, mfano sh. 8000 milioni kukarabati ukumbi wa bunge la katiba badala ya kuboresha elimu!
 

Umeambiwa wananchi Kama ni kwa hiari yao ni sawa,lakini Kama viongozi wanawalazimisha kuchanga kwa kifupi huo ni wizi! Yaani wanawaibia wananchi kwa kitu ambacho walishakilipia kwenye kodi tayari.Hivyo serikali ilipaswa kufanya wajibu wake kuwawahishia wananchi wake Kama ambavyo huwa inawahi kwenye kukusanya mapato. Kuwa mwepesi wa kuelewa yaani hao wananchi wametapeliwa hata hicho kidogo walicho nacho.Serikali unayojua kupokea tu ni shida kwa wananchi wake.
 

jaribuni kuelewa kitu kimoja Tundu Mugwai Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati (activist) sielewi ni kitu gani ambacho hamkielewi! Yeye yupo kubishana na serikali sio kusukuma maendeleo
 
jaribuni kuelewa kitu kimoja Tundu Mugwai Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati (activist) sielewi ni kitu gani ambacho hamkielewi! Yeye yupo kubishana na serikali sio kusukuma maendeleo

kweli ww nawe ni 0 .
ivi unapokua mwanaharakati, kubishana na serikali ndo ubishi wako uwaathiri mpaka wananchi ... tena wananchi maskini jabisa unawanyima fursa ya kujikwamua eti kisa unabishana na serikali... tena mbaya zaidi huo ubishi wako unakufaidisha ww na familia yako .
Mwanaharakati ni mtu abtwonyeha Fursa , mwelekeo , pamoja na kutoka gizani na kuwaonyesha nuru.. !

Mwanaharakati anayafanya yote kwa pamoja , maendeleo kwa jamaii pamoja na kuihimiza serikali katika kuwahudumia jamii
 
ww ndio umesema hayo ... sisi tunazugzia anayo yafanya tundu Lissu jimboni kwake , hayo ya kalenga na chalinze ni mindset yako tu imekunogea kwenye uchaguzi but hayahusiani ns Tundu .
 
Imekuwaje hapa maccm mnatiana masingi?
 

Wewe utakuwa chizi maarifa kwenye siasa kunahitajika busara na hekima mathalani shule hazina maabara wananchi wanataka kuchangia ili watoto wapate elimu bora Lissu kwasababu ni mwanaharakati anashinikiza wazazi wasichangie kwa kigezo serikali ina uwezo wa kujenga maabara sasa wanaokosa elimu bora ni serikali au wanafunzi??
 
ww ndio umesema hayo ... sisi tunazugzia anayo yafanya tundu Lissu jimboni kwake , hayo ya kalenga na chalinze ni mindset yako tu imekunogea kwenye uchaguzi but hayahusiani ns Tundu .

Ndugu Mandella! Hoja yako ni nzuri, na labda jimbo la Singida vijijini linakuhusu zaidi ndo maana unalitakia maendeleo. Ila kumbuka kwamba palikua na wabunge pale tangu uhuru, Tungu Lisu ameanza majuzi miaka minne sasa! Pia Tanzania ina majimbo mengi tu, kama Chalinze alikokua 'baba' sasa 'mtoto' anataka, napo miaka mingi tu, kuna maendeleo sana pale? Tatizo la uduni wa elimu Tanzania ni kubwa ndugu yangu, wala siyo Lisu! Lakini nakubali kwamba wote tunatarajia makubwa sana kwa mtu mwenye kiwango cha Lisu!
 

Labda mtarajie migogoro, lkn maendeleo sahauni kwa Misimamo ya aina ya Lissu.
 
Labda mtarajie migogoro, lkn maendeleo sahauni kwa Misimamo ya aina ya Lissu.

Labda hujanielewa, mwenye uzi ameonesha matarajio makubwa, lakini amekatishwa tamaa. Kwa sababu amemlenga Tundu Lisu pekee! Migogoro ni bora kuliko, kuwa katika hali hii tuliyo nayo hapa Tanzania! Kama tunataka maendeleo lazima tukaze msuli, tupambane na maadui za maendeleo yetu na ikiwa misimamo na kelele za Lisu zitaamsha mori huo, ni bora kuliko kuendelea kutafunwa miaka yote!
 

duuh kaz kweli kweli....uchangiaji wa hiari hauwezi kuwa ndo source kubwa ya kupata mapato ili kuleta maendeleo kwa wananchi.....!!!

hata hivyo unataka kutufanya tuamini kuwa srkl inashindwa kufinance miradi ya maendeleo kwa sbb haina pesa au? ni srkl hii ambayo hata report ya IMF/WB kwa mwaka 2013 imeonyesha kuna misuse of public funds kila kona....!!!

jaribu kuoanisha ukuaji wa uchumi wa 6% per year na kuoengeza kwa deni la taifa na ukosefu wa madawati na madarasa hapa nchini!!

ukosefu wa Huduma za jamii haiwez kuwa kipimo cha mbunge badala ya srkl inayokusanya mapato.......!!!!!!
 
Tundu Lissu baada ya 2015 Ubunge atausikia tu, wengine ni SUGU na LEMA.
 
Tundu Lissu baada ya 2015 Ubunge atausikia tu, wengine ni SUGU na LEMA.

kwa sababu unaamini wananchi wanafaidika na srkl ya kifisad ya ccm au? ukuaji wa kiuchumi na kudorola kwa Huduma za jamii unadhan ni kaz za lissu na lema sio?

nashindwa kuamin mzee ka kingunge anaweza kuonyesha kuwa kund kubwa la watz wana maisha magum hata yumkin kuliko kipnd cha ukolon.....alaf kijana ka wewe hata hujui bottom line of the govt is to solve peoples problems.....una akl punje we we!!!
 

Ndugu yangu nakushauri rudi SHULE
 
jimbo la tundu lisu ndio linaongoza kwa umasikini tanzania, wapiga kura wake wanajuta kumchagua mgonjwa wa akili.

Kumtukana mbunge directly si vema ndugu, unakuwa umewadhalilisha hasa waliomchagua, labda kama unasema hukubaliani na matamshi yake oj, lakini siyo kusema maendeleo hakuna! Hujui naendeleo yanaletwa kwa kodi zinazokusanywa na serikali? Mwananchi kazi yake ni kulipa kodi tu na sikutoa michango.
 

lazima liwe na maendeleo. Kalenga na chalinze maendeleo yao yapo juu kwani wananchi wamechangia kwa kiwango kikubwa ila serikali haijatuma mafungu ya maendeleo hadi kampeni za ubunge zianze! Nawe mwenye uzi huu ndo msemaji wa majimbo yasiyo na maendeleo? Jimboni utokako kuna hali gani? Na hali hiyo imechangiwa na michango yenu au ya serikali? Kama mmekamuliwa ninyi wenyewe, basi funds za miradi yenu hizi huku mbezi beach zinaporomosha makasri ya wakurugenzi wenu! Fikiri upya jinsi ya kumtumia lissu kama sample kwani amekuacha mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…