Chikaka Sumuni
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,337
- 773
Source:New star tv!!! News!!! New aaaaaargh,ndum.ku kowa
Ebu twambie Mbunge wa Kalenga ni Tundu Lissu, Mbunge wa Chalinze pia ni Tundu Lissu? Mbona unawaza kama ccm ccm hivi. Uliwahi kupata habari kingozi mmoja mzito alipotembelea Ufaransa aliwahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni maskini wakati kuna raslimali za asili kedekede? Huyo kiongozi alijibu na yeye hajui kwa nini Tanzania ni Maskini.
Tulieni sindano yenu iingie pole pole mwisho wa ccm kufikiri, Kubuni, kuongoza, kushawishi ushafikia mwisho zawadi pekee ya kuwapa ni kuwapumzisha tu kama KANU, UNIP nk