Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

Kama nyie ndio aina ya Watu walioshika madaraka , kweli kazi bado ni ngumu.
 
Tumkatae arudi kwao ubelgiji
 
Tokea uhuru?
 
hana lolote huyo anapiga tu kelele siye tuna songa mbele
 
Ndungu Mshamba wa kusini,siasa ni hoja japo hoja si siasa a.k.a sii hasa,hivyo acha kuvamia pori pori kwa kiwembe vinginevyo wewe Sii Mshamba wa Kusini ila utakuwa wa porini😅
 
praise and worshipers team ya ccm sijui kama wataelewa hiyo fasihi walivyo na akili mgando
 
Bila tundu lissu hii nchi ingekuwa mbali sana kumbuka wakati yuko ubelgiji tulifika uchumi wa kati alivyorudi tu
Bila uwepo wake huenda wewe ungekuwa Haiti utumwani huko,tena kwa kupigwa bei,hivyo yafaa tena umshukuru kwa kuwapigia kelele wala kwa urefu wa kamba,tena kwa ulafi uliopitiliza🤪
 
Ndungu Mshamba wa kusini,siasa ni hoja japo hoja si siasa a.k.a sii hasa,hivyo acha kuvamia pori pori kwa kiwembe vinginevyo wewe Sii Mshamba wa Kusini ila utakuwa wa porini😅
Anang'ang'ania Tanzania kweni nchi ni hii tu? atuachie nchi yetu
 
Anang'ang'ania Tanzania kweni nchi ni hii tu? atuachie nchi yetu
Wewe mbona hujatafuta nchi ya kwenda,hii yetu wote na mchango wangu na wako unatskiwa ili kuifanya Tanzania salama kwa wote,tena bila chuki kwa yeyote ila kwa kufanya kila jambo kwa Uzalendo wa kweli 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…