Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Kweni nchi ni hii tu? atokomee kwa mabepari wenzake huko watanzania tumemkataaBila uwepo wake huenda wewe ungekuwa Haiti utumwani huko,tena kwa kupigwa bei,hivyo yafaa tena umshukuru kwa kuwapigia kelele wala kwa urefu wa kamba,tena kwa ulafi uliopitiliza🤪
Mchango wa lissu hatuutaki akachangie ubelgijiWewe mbona hujatafuta nchi ya kwenda,hii yetu wote na mchango wangu na wako unatskiwa ili kuifanya Tanzania salama kwa wote,tena bila chuki kwa yeyote ila kwa kufanya kila jambo kwa Uzalendo wa kweli 😅
Kelele mpaka Mzee Kinana akaitisha press conference.hana lolote huyo anapiga tu kelele siye tuna songa mbele
Wako nani anautaka😅Mchango wa lissu hatuutaki akachangie ubelgiji
nani angetufikisha mbali kuwa muwaziMi naona bila CCM tungekuwa mbali
Vitu vikuu 4 vinavo ismbua nchi yangHabari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Ongeza na tundu lissu namba 5Vitu vikuu 4 vinavo ismbua nchi yang
1.Umaskin
2.Wivu
3.Njaa
4.NYEGE
zingatia no# 4 mzee punguza
Tumemvumilia sanaDuh kwa akili hiz CCM wataongoza milele, una tunzo ya ujinga au degree ya utaahira kabisa?
Akaongoze ubelgiji kweni nchi ni Tanzania tu?Acha ufala, lini tundu lissu aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa taifa hili? Hao viongozi wanaconcetrate na lissu wanaacha kudili na majukumu yao kwani lissu anawazuia nini wasifanye kazi zao?
hebu ficha ujinga wako mkuuHabari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Wapinzani walituchelewesha sana ,kwasasa bungeni hakuna wapinzani kabisa maendeleo kede kede "ULUMBI NI MWINGI" ,ULUMBI KILA PAHALA ,SAKO KWA BAKO........Ulumbi ni Mwingi.Habari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
yule ni mtanzania, ni smart kwa mambo ya uongozi wa nchi, tumpe maua yakeAkaongoze ubelgiji kweni nchi ni Tanzania tu?
Wewe kweli mshambaHabari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Lissu ni mpinga maendeleohebu ficha ujinga wako mkuu
wizi unaofanywa bandarini ni Lisu
Madini tunayoibiwa ni Lisu
Wanafunzi wancheleweshewa mikopo ni Lisu
miaka 60 bila umeme wa kuaminika ni Lisu
Hii barabara ya tarime nyamongo kususasua ni Lisu
Hilooooooooo
Hakuna mtu smart muongeaji vile kila siku makelele tuyule ni mtanzania, ni smart kwa mambo ya uongozi wa nchi, tumpe maua yake
nmekuelewa mkuu 😆 😆 😆Lissu ni mpinga maendeleo
anazijua vema siasa za tanzaniaHakuna mtu smart muongeaji vile kila siku makelele tu