Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

Bila uwepo wake huenda wewe ungekuwa Haiti utumwani huko,tena kwa kupigwa bei,hivyo yafaa tena umshukuru kwa kuwapigia kelele wala kwa urefu wa kamba,tena kwa ulafi uliopitiliza🤪
Kweni nchi ni hii tu? atokomee kwa mabepari wenzake huko watanzania tumemkataa
 
Wewe mbona hujatafuta nchi ya kwenda,hii yetu wote na mchango wangu na wako unatskiwa ili kuifanya Tanzania salama kwa wote,tena bila chuki kwa yeyote ila kwa kufanya kila jambo kwa Uzalendo wa kweli 😅
Mchango wa lissu hatuutaki akachangie ubelgiji
 
Acha ufala, lini tundu lissu aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa taifa hili? Hao viongozi wanaconcetrate na lissu wanaacha kudili na majukumu yao kwani lissu anawazuia nini wasifanye kazi zao?
 
Duh kwa akili hiz CCM wataongoza milele, una tunzo ya ujinga au degree ya utaahira kabisa?
 
Habari

Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.

Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.

Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Vitu vikuu 4 vinavo ismbua nchi yang
1.Umaskin
2.Wivu
3.Njaa
4.NYEGE
zingatia no# 4 mzee punguza
 
Acha ufala, lini tundu lissu aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa taifa hili? Hao viongozi wanaconcetrate na lissu wanaacha kudili na majukumu yao kwani lissu anawazuia nini wasifanye kazi zao?
Akaongoze ubelgiji kweni nchi ni Tanzania tu?
 
Habari

Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.

Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.

Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
hebu ficha ujinga wako mkuu
wizi unaofanywa bandarini ni Lisu
Madini tunayoibiwa ni Lisu
Wanafunzi wancheleweshewa mikopo ni Lisu
miaka 60 bila umeme wa kuaminika ni Lisu
Hii barabara ya tarime nyamongo kususasua ni Lisu
Hilooooooooo
 
Hii ndio aina ya wapiga kura waliopo Tanzania...
 
Habari

Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.

Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.

Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Wapinzani walituchelewesha sana ,kwasasa bungeni hakuna wapinzani kabisa maendeleo kede kede "ULUMBI NI MWINGI" ,ULUMBI KILA PAHALA ,SAKO KWA BAKO........Ulumbi ni Mwingi.
 
Habari

Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.

Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.

Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Wewe kweli mshamba
 
hebu ficha ujinga wako mkuu
wizi unaofanywa bandarini ni Lisu
Madini tunayoibiwa ni Lisu
Wanafunzi wancheleweshewa mikopo ni Lisu
miaka 60 bila umeme wa kuaminika ni Lisu
Hii barabara ya tarime nyamongo kususasua ni Lisu
Hilooooooooo
Lissu ni mpinga maendeleo
 
Back
Top Bottom