The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Unaweza kumpuuza wewe wala hakuna wa kukushangaa maana hii ndiyo maana ya "Uhuru Wa mawazo" na "Uhuru wa kuchagua"..Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Tukiwa na watanzania kama wewe Zaidi ya Million 30. Hii nchi tutaishia kuuza nyanya na mboga mboga tu maana ndio tunaweza fanya na ikakamilika.Ile ni Miradi hewa.
kwanza mingi haiwezi kukamilika.
Ile miradi ni Uchuro
Mambo mengine muwe mnawapuuza hata kama munawapenda.Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Nitashangaa sana kama kuna watu bado huwa wanamsikiliza huyu kibaraka Wa mabeberu Lisu!! Aendelee tu kuvaa kond*m* ya pua na mdomo huko ulaya!! Maana hilo ni vazi rasmi huko!!Huyu ndo yule alisemaga kuna MIGA au?
Ni kama vile hutakuja kusikia KQ wameuza ndege zake sababu hawajapata faida.. Ni service pia ambayo ni muhimu sana kwa nyanja zingine..
Ni kweli, lakini mpaka hapo watakapouza hizo hisa zote na kujitoa ndio tutaliongea hilo. Si uongo, Airlline ni biashara kichaa lakini bado zitaendelea kuwepo.Serikali ya Kenya waliuza asilimia 50 ya hisa kwa sekta binafsi na kadri muda unavyoendelea itauza tu hisa zake zote zilizobaki waondokane na hiyo biashara kichaa ambayo imekuwa chaka la upigaji kwa vigogo.
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Mabasu tu ya mwendi kasi mnataka kupasuana vichwa. Yaani hii nchi mataga sijui mlilogwa na nani. Mnashindwa na Abood mtu mmoja?Tundu Lissu siyo mzalendo, azungumze mambo ya huko ubelgiji. Atuachie Tanzania yetu. Miradi ya Magufuli ni ya maendeleo kizazi hata kizazi
Samia hawezi kwenda kinyume na mwendazake, majanga matupuAmeandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Ni kweli, lakini mpaka hapo watakapouza hizo hisa zote na kujitoa ndio tutaliongea hilo. Si uongo, Airlline ni biashara kichaa lakini bado zitaendelea kuwepo.
Serikali ya kenya imeuza hisa 50 % halafu kukaibuka kitu KQ lenders( consortium of Banks). Wamiliki wa Banks Kenya utakuta ni wale wale waliokuwa/wako Serikalini. KQ sio rahisi kufa na Serikali haitatoka mule. Just my opinion.
Jitu lilikuwa jizi/jambazi lililojivisha uzalendo, asante Mungu kwa kutusaidiaAmeandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Foolish manIle ni Miradi hewa.
kwanza mingi haiwezi kukamilika.
Ile miradi ni Uchuro
Hoja hapa ni Lissu kuwa na harakati za kupambana na hayati JPM kama individual elewa kijana.Labda kama Lisu alianza siasa baaad ya Magufuli kuwa rais, hapo ndio siasa zake zinaweza kufikia mwisho?
Kwani yeye (mwendazake) hakupambana na Lissu kama individual ?!. IdugundeHoja hapa ni Lissu kuwa na harakati za kupambana na hayati JPM kama individual elewa kijana.
StupidLissu has been ridiculously consistently correct in all his predictions from the beginning
Halafu tuje tukuamini wewe hamnazo?
What the fvck!
Mhe. Mama Samia ameshawaeleza Serikali yake ni muendelezo wa Serikali ya awamu ya 5. Hakuna kipya kitakachotokea. Miradi yote ya kimkakati lazima itekelezwe. Huyo Profesa wenu maandazi akatafute Nchi ya kuishi. Profesa gani mzandiki huyu?Ameandika hivyo kupitia twitter: