Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

Labda wewe utuambie ni vitu vingapi Magufuli kafeli na watu walimpinga mapema kabisa ila hakukubali

Korosho:- Aliingilia ununuzi wa korosho akapeleka jeshi nadhani unajua nn kilitokea

PSSSF:- Aliunganisha mifuko ya mafao akaleta kikokotoo hapa pia unajua nini kilitokea

ATCL:- Hapa ripoti ya CAG inatosha kutasimini (japo mnatuaminisha imechakachuliwa)

UDART:-Huu mradi PM Majaliwa anazinguka mbuyu ila tatizo lilikuwa serikarini, waliamua kumharasi kwa makusudi mwekezaji Kisena mara kesi za uhujumu uchumi mara washikilie mabasi bandarini kisa kodi TRA
That is another poor mind! Unajua hayo yote yalianzia wapi?
Korosho: JPM alipoingia bei ya koroso ilikuwa sh. 400 kwa kg, ikapanda kuwa 4000 kwa kg. baadaye ikawa hayo ya jeshi unayosema. Unamlaumu mtu huyo badala ya kulaumu colution ya wafanyabiashara?

PSSF: Kwa nini isiunganishwe wakati mwalimu ywa shule ya msingi anastaafu na kulipwa milioni 120, profesa anstaafu analipwa milioni 60? Kikotoo kinafuata life expectancy Kila mfuko unaamini watanzania wakistaafu wataishi miaka tofauti. Wengine 15, wengine 25, etc. any logic over here?

ATCL: Unasema kutasmini (kutathmini?) eleza kwa kirefu hakuna hasara hapo inayotokana na wizi. Ni loss inayotokana na expected income. Not so harmful! btw. Awamu zilizopita na hazikununua ndege, pesa hiyo ilipelekewa wapi? Uliiona mashuleni, hospitalini, nk?

UDART: Kama Kisena unamuita ni mwekezaji basi hutaki kusoma taarifa za hapa JF. Achana na ushbiki wa watu wapuuzi. Huyo ni mpuuzi wa kutupwa na wenzake waliomsaidia ku-acquire assesta za UDA. JPM was right!

Jaribu kuwa unajisomea kwanza JF na mambo ya nyuma kabla hujagomba juu ya kipindi cha JPM. Tulitoka kuzimu.
 
Kwamba kg ya korosho ilikuwaTsh 400/- mkuu unatania😀😀😀 au ndo yale yale ya JPM kwamba kipindi anaingia sukari ilikuwa inauzwa 5000 kwa kilo

Mkuu korosho before ilikuwa 2800-3000 kwa kilo na ulikuwa ukiuza unapewa hela yako keshi
 
Uliwahi kusikia watu walipigania mashamba ya korosho kabla ya JPM? Alipoingia hukusikia mkulima aliyefurahi na kumpa mbuzi soda?
Kama huna kumbukumbu, usijadili somo hili. Siku za nyuma, the highest ever reached price was shilingi 800 tu! Kama hukulijua hilo basi acheni kujadili achievements za JPM.
 
Uliwahi kusikia watu walipigania mashamba ya korosho kabla ya JPM? Alipoingia hukusikia mkulima aliyefurahi na kumpa mbuzi soda?
Kama huna kumbukumbu, usijadili somo hili. Siku za nyuma, the highest ever reached higher price was shilingi 800 tu! Kama hukulijua hilo basi acheni kujadili achievements za JPM.
Uzuri ni kwamba JPM namjua in en out lkn pia kusini nimeishi au nikuulize wewe hukusikia lile fukuto la wabunge wa kusini kipindi JPM katangaza kwenda kununua korosho?

Hela walilipwa mda gani baada ya serikali ya JPM kuchukua hizo korosho?

Harafu nyie masikini wa kila kitu (wanyonge ) mbona mnashadadia sana vitu ambavyo havikuwa na faida kwa taifa?
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Jinga kabisaa hii mavi...unaskiliza! Kwa nini asifanye utaft nakujua ukwel..huu usomi wa huyoo mbeligijiii ni wa chooni au?
 
Ile ni Miradi hewa.

kwanza mingi haiwezi kukamilika.

Ile miradi ni Uchuro
Sawaaa...hata hivyoo huna uwezo wa kupanda train inayopita kwenye SGR..hivyoo sitegemei kama utasifia hilo..lakin pia huna uwezo wa ndege..ww ni wa chini tuu
 
Tumuelewe huyu huyu Tundu Lissue aliyemsaidia Mbowe kuchenjia/Kuchinjia gia angani 2015? Hvi wewe unajua maana ya kucheniia gia angani maanake au ulikuwa unaendeshwa tu na mihemko. Mbowe na Lissu & Co. LTD wote wala rushwa tu hakuna msafi hapo hata kidogo.
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Europe wamejenga kitambo hakuna majanga yoyote
 
Omba ufafanuzi sio unapiga kelele sizizo napango
Labda useme nikufafanulie kwa kutumia mfano unaohusu ufanisi wa 'enzymes' zinavyofanya kazi na matokeo ya kazi hizo mwilini mwako baada ya wewe kupata shibe ya mlo wa chakula chenye mafuta mengi!
Au wewe ni mtu wa kemia na kazi za 'catalysts'?

Kama sio, basi labda ni mfizikia, ukijaribu kueleza 'output' ya nguvu unayotumia dhidi ya misuguano ya sehemu za kimashine chako unachotumia?

Chagua moja.
 
Uzuri ni kwamba JPM namjua in en out lkn pia kusini nimeishi au nikuulize wewe hukusikia lile fukuto la wabunge wa kusini kipindi JPM katangaza kwenda kununua korosho?

Hela walilipwa mda gani baada ya serikali ya JPM kuchukua hizo korosho?

Harafu nyie masikini wa kila kitu (wanyonge ) mbona mnashadadia sana vitu ambavyo havikuwa na faida kwa taifa?
Hivi wewe umesoma hadi kiwango gani? Una digrii? Kama ulisoma kwa mkopo, hii hasara.
 
Huyu ndo yule alisemaga kuna MIGA au?

Ndio huyohuyo na kiongozi wa

1618982100482.png
 
Waswahili wanasema mtoto haimbiwi nyimbo mbaya. ATCL, SGR, SGe nk ndio hiyo imeshaanzishwa. Nadhani dua iwe ni kuangalia namna bora zaidi ya miradi hiyo kutelezwa kwa weledi zaidi ili kupunguza maumivu na hasara kwa wananchi.

Hii kuita majanga yajayo na maneno makali kama hayo ni uchimvi tu, na ni mchawi pekee anayependa vizazi vyake viteketee kwa uchimvi.
Alafu mtu kama huyo ndio alitaka kuwa rais.
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.

Huyo nae ni mlopokaji tu, Serikali imeshasema miradiyote iliyo achwa na hayati Magufuli itaendelea kama kawaida na rais SSH amesema kazi iendelee yeye ana wasiwasigani.

Ama analopoka lopoka ili mama ampe kaziyoyote.
Kwanza vipi kuhusu MIGA, mbona hapanui domolake kuongelea tena.

Alafu mbowe mjanja sana aliona kabisa chama hakiwezi kushinda maana Magu alisha cover kila idara katika matarajio ya wananchi ndio mana aka kataa kugombea urais.

Akamuacha huyo MIGA apambane na haliyake hata kwenye kampeni akamuacha pekeake maana aliona ni kupoteza muda.
Akaamua kukomalia nafasiyake yenyeulaji tu maisha yaendelee.

Nyumbu mnazungukwa kama kipleft cha pale morogoro sijui ni msavu kama sikosei.
 
Wa kupuuzwa ni wewe ambaye una attack personality badal ya ku attack hoja!
(1) Ameangalia hoja yenyewe
(2) Mleta hoja mwenyewe
(3) Sifa za mleta hoja miaka mitano nyuma

Jibu Ni mwanasiasa mwenye sifa za Kimalaya malaya.
Sio wa kumwamini hata kidogo.
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
dudu limemkolea lissu anaropoka tu bila ridhaa yake
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Tume tume tumechokaa
 
Back
Top Bottom