KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hata hiyo "Law" huijui, unachojua ni kubandika maneno tu!The law of diminishing return ina apply hapa siasa zake zimefika ukingoni. Asanteni kwa kuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hiyo "Law" huijui, unachojua ni kubandika maneno tu!The law of diminishing return ina apply hapa siasa zake zimefika ukingoni. Asanteni kwa kuja
Omba ufafanuzi sio unapiga kelele sizizo napangoHata hiyo "Law" huijui, unachojua ni kubandika maneno tu!
That is another poor mind! Unajua hayo yote yalianzia wapi?Labda wewe utuambie ni vitu vingapi Magufuli kafeli na watu walimpinga mapema kabisa ila hakukubali
Korosho:- Aliingilia ununuzi wa korosho akapeleka jeshi nadhani unajua nn kilitokea
PSSSF:- Aliunganisha mifuko ya mafao akaleta kikokotoo hapa pia unajua nini kilitokea
ATCL:- Hapa ripoti ya CAG inatosha kutasimini (japo mnatuaminisha imechakachuliwa)
UDART:-Huu mradi PM Majaliwa anazinguka mbuyu ila tatizo lilikuwa serikarini, waliamua kumharasi kwa makusudi mwekezaji Kisena mara kesi za uhujumu uchumi mara washikilie mabasi bandarini kisa kodi TRA
Kwamba kg ya korosho ilikuwaTsh 400/- mkuu unatania😀😀😀 au ndo yale yale ya JPM kwamba kipindi anaingia sukari ilikuwa inauzwa 5000 kwa kiloThat is another poor mind! Unajua hayo yote yalianzia wapi?
Korosho: JPM alipoingia bei ya koroso ilikuwa sh. 400 kwa kg, ikapanda kuwa 4000 kwa kg. baadaye ikawa hayo ya jeshi unayosema. Unamlaumu mtu huyo badala ya kulaumu colution ya wafanyabiashara?
PSSF: Kwa nini isiunganishwe wakati mwalimu ywa shule ya msingi anastaafu na kulipwa milioni 120, profesa anstaafu analipwa milioni 60? Kikotoo kinafuata life expectancy Kila mfuko unaamini watanzania wakistaafu wataishi miaka tofauti. Wengine 15, wengine 25, etc. any logic over here?
ATCL: Unasema kutasmini (kutathmini?) eleza kwa kirefu hakuna hasara hapo inayotokana na wizi. Ni loss inayotokana na expected income. Not so harmful! btw. Awamu zilizopita na hazikununua ndege, pesa hiyo ilipelekewa wapi? Uliiona mashuleni, hospitalini, nk?
UDART: Kama Kisena unamuita ni mwekezaji basi hutaki kusoma taarifa za hapa JF. Achana na ushbiki wa watu wapuuzi. Huyo ni mpuuzi wa kutupwa na wenzake waliomsaidia ku-acquire assesta za UDA. JPM was right!
Jaribu kuwa unajisomea kwanza JF na mambo ya nyuma kabla hujagomba juu ya kipindi cha JPM. Tulitoka kuzimu.
Uliwahi kusikia watu walipigania mashamba ya korosho kabla ya JPM? Alipoingia hukusikia mkulima aliyefurahi na kumpa mbuzi soda?Kwamba kg ya korosho ilikuwaTsh 400/- mkuu unatania😀😀😀 au ndo yale yale ya JPM kwamba kipindi anaingia sukari ilikuwa inauzwa 5000 kwa kilo
Mkuu korosho before ilikuwa 2800-3000 kwa kilo na ulikuwa ukiuza unapewa hela yako keshi
Uzuri ni kwamba JPM namjua in en out lkn pia kusini nimeishi au nikuulize wewe hukusikia lile fukuto la wabunge wa kusini kipindi JPM katangaza kwenda kununua korosho?Uliwahi kusikia watu walipigania mashamba ya korosho kabla ya JPM? Alipoingia hukusikia mkulima aliyefurahi na kumpa mbuzi soda?
Kama huna kumbukumbu, usijadili somo hili. Siku za nyuma, the highest ever reached higher price was shilingi 800 tu! Kama hukulijua hilo basi acheni kujadili achievements za JPM.
Jinga kabisaa hii mavi...unaskiliza! Kwa nini asifanye utaft nakujua ukwel..huu usomi wa huyoo mbeligijiii ni wa chooni au?Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Sawaaa...hata hivyoo huna uwezo wa kupanda train inayopita kwenye SGR..hivyoo sitegemei kama utasifia hilo..lakin pia huna uwezo wa ndege..ww ni wa chini tuuIle ni Miradi hewa.
kwanza mingi haiwezi kukamilika.
Ile miradi ni Uchuro
Yani haka kajamaa ni hamnazo kabisa, soon kataanza kuokota makopo majalalani.Tindu ni Nani?? Ndiyo Yule wa MIGA?
Ujinga mtupu!!
Europe wamejenga kitambo hakuna majanga yoyoteAmeandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Labda useme nikufafanulie kwa kutumia mfano unaohusu ufanisi wa 'enzymes' zinavyofanya kazi na matokeo ya kazi hizo mwilini mwako baada ya wewe kupata shibe ya mlo wa chakula chenye mafuta mengi!Omba ufafanuzi sio unapiga kelele sizizo napango
Hivi wewe umesoma hadi kiwango gani? Una digrii? Kama ulisoma kwa mkopo, hii hasara.Uzuri ni kwamba JPM namjua in en out lkn pia kusini nimeishi au nikuulize wewe hukusikia lile fukuto la wabunge wa kusini kipindi JPM katangaza kwenda kununua korosho?
Hela walilipwa mda gani baada ya serikali ya JPM kuchukua hizo korosho?
Harafu nyie masikini wa kila kitu (wanyonge ) mbona mnashadadia sana vitu ambavyo havikuwa na faida kwa taifa?
Panadol mmeze nyinyi mnaokesha na Magufuli mitandaoni. Na bado, maana ndiyo kwanza kunakucha. Ataendelea kuwagonga vichwa mpaka pale mtakapoanza kujitambua. Period.Meza panadol upunguze maumivu.
Alafu mtu kama huyo ndio alitaka kuwa rais.Waswahili wanasema mtoto haimbiwi nyimbo mbaya. ATCL, SGR, SGe nk ndio hiyo imeshaanzishwa. Nadhani dua iwe ni kuangalia namna bora zaidi ya miradi hiyo kutelezwa kwa weledi zaidi ili kupunguza maumivu na hasara kwa wananchi.
Hii kuita majanga yajayo na maneno makali kama hayo ni uchimvi tu, na ni mchawi pekee anayependa vizazi vyake viteketee kwa uchimvi.
Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
(1) Ameangalia hoja yenyeweWa kupuuzwa ni wewe ambaye una attack personality badal ya ku attack hoja!
dudu limemkolea lissu anaropoka tu bila ridhaa yakeAmeandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Tume tume tumechokaaAmeandika hivyo kupitia twitter: