Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

Lissu ameongea kwa upole sana. Kweli umeongea point. Kuwekwa sheria inayotaka migogoro ya kimkataba iamuliwe nje ya nchi tunapiga kelele, JPM kaondoa hiyo, badala Lissu asifie hilo jambo kwamba ni la kizalendo, anaamua kuona kwamba tulifanya uamuzi wa ajabu (kwa sababu tu anamchukia Magufuli) anaona kurudisha ile utaratibu wa zamani ndiyo sawa! Uwendawazimu gani huu
 
Alivuta mpunga.

Na sasa hivi kavuta tena.
 
Yuko huko wapi? Yuko Bungeni? We Pimbi kweli, yaani unashindwa kudili na walioko bungeni una Dili na Lisu? Lisu ni Mwanasheria wa Serikali? Lisu ni mbunge? Acha upoyoyo wewe
 
Basi unalo tatizo lako jingine na huyo Lissu. Tafuta njia muyamalize.
Katika hili Lissu kaeleza tu kitaalam mambo yalivyo kisheria, hajaongeza jingine lolote unalotaka wewe kuaminisha watu wakubaliane nawe hapa.
Kahongwa
 
, badala Lissu asifie hilo jambo kwamba ni la kizalendo, anaamua kuona kwamba tulifanya uamuzi wa ajabu (kwa sababu tu anamchukia Magufuli) anaona kurudisha ile utaratibu wa zamani ndiyo sawa! Uwendawazimu gani huu
Hebu eleza ni wapi katika hayo yaliyoandikwa hapo juu yakidaiwa kuwa yalisemwa na Lissu, ni wapi ulipoona wewe kasema kwamba "tulifanya uamzi wa ajabu"
Ni sehemu gani ya maandishi hayo Lissu anaposema "anaona kurudisha utaratibu wa zamani ndiyo sawa"?

Umeisoma hiyo taarifa na kuielewa, au umeamua kufanya tafsiri yako mwenyewe uliyonayo kumhusu Tundu Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…