Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
So what??Huyu Si alimpiga magufuli kuhusu madini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what??Huyu Si alimpiga magufuli kuhusu madini?
🖕So what??
So what??[emoji867]
Kwaiyo Leo ndo anamuunga Mkono ?Kwani Magufuli alikuwa nani hadi asipingwe? Ni Yesu tu ndio hapingwi.
Ule mwenge unaotembezwa nchi nzima utakuwa na nguvu za giza kuwatia Watanganyika uzuzu fulani wakose ujasiri wa kudai haki zao ndiyo maana mimi katika maisha yangu sijashiriki katika mambo ya Mwenge hata kuuona sijawahi labda kwenye TV na magazetini tu.Kwa hiyo masuala ya bandari ni ya Muungano! Lakini katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, bandari zinazohusika na huo mkataba wa Waarabu ni zile za upande wa Bara pekee! Yaani bandari za Zanzibar hazihusiki!!
Ukiangalia Rais wa sasa, anayokea Zanzibar! Waziri anayehusika kusaini huo mkataba, naye anatokea Zanzibar! Na mbaya zaidi ni mbunge na waziri wa kuteuliwa tu! Siyo bure, kuna mtu ameturoga Watanganyika. [emoji848]
Kule hakuna ile nchi ima wenyewe [emoji848]Hivi Kule Zanzibar hakuna ubinafsishaji?
Kupitia ushetani wa Yule BWANA, akatuletea wabunge mashetani Kama Hawa wanaoshiriki kuuza nchi. Mikwamo mingi tunayokumbana nayo chimbuko lake ni Yule shetani wa Chato.Chuki za kijinga tu ulitegemea vyeti feki mngeweza kuendesha nchi? Matokeo yake ndiyo haya, mkurugenzi anataka wawekezaji kuongeza ufanisi lkn anataka aendelee kubaki na ukurugenzi wake.
Acacia walikua wanachimba madini kwa wizi bila mkataba? Kama walikua na mkataba unazuiaje mtu asiendelee kuchimba while hajavunja mkataba? Lawama zote ni kwa serikali kuhusu mikataba hata yy alikua ni mmojawapo alipiga meza bungeni kupitisha maazimio yote!! U can fool small circle but not all realest niggaz!!!Kwani Kuna mkataba gani ulivyunjwa na vipi kuhusu miga
Tumewekeza zaidi ya miaka 60 kwenye bandari zetu, leo hii apewe mwarabu kumiliki kwa kigezo kwamba hatuna ufanisi wa kuziendesha, hivi katika kizazi hiki inakuwaje bado kuna watu wanawaza kama chifu mangungo.Huu mkataba una kila dalili ya umangungo ndani yake. Kwa nini migogoro ikaamuliwe, na kwa sheria za Uingereza!!
Yaani ni kwa sababu tunawahitaji sana hao Waarabu, au ni kwa sababu tayari rushwa imeshatembezwa kwa waganga njaa, na wachumia tumbo wetu?
Wanajitahidi sana kujisahaulisha misukule wa Marehemu hawaKupitia ushetani wa Yule BWANA, akatuletea wabunge mashetani Kama Hawa wanaoshiriki kuuza nchi. Mikwamo mingi tunayokumbana nayo chimbuko lake ni Yule shetani wa Chato.
Tulishitakiwa miga?Acacia walikua wanachimba madini kwa wizi bila mkataba? Kama walikua na mkataba unazuiaje mtu asiendelee kuchimba while hajavunja mkataba? Lawama zote ni kwa serikali kuhusu mikataba hata yy alikua ni mmojawapo alipiga meza bungeni kupitisha maazimio yote!! U can fool small circle but not all realest niggaz!!!
Tulisarenda tukakubali kishika uchumba that's why kesi haikwenda mbali!!Tulishitakiwa miga?
Huo ni uongo mzee wa migaTulisarenda tukakubali kishika uchumba that's why kesi haikwenda mbali!!
Wee nae mfuata mkumbo tu, kishika uchumba kilitangazwa na wazalendo uchwara wakasema acacia wamekubali kulipa bilion 300 kwa instalment. Sasa wew cjui kipind hicho ulikua unachunga ng'ombe chattle!!Huo ni uongo mzee wa miga
Mbona sheria zibadilishwa na accia alifirisika na miga hatukushitakiwaWee nae mfuata mkumbo tu, kishika uchumba kilitangazwa na wazalendo uchwara wakasema acacia wamekubali kulipa bilion 300 kwa instalment. Sasa wew cjui kipind hicho ulikua unachunga ng'ombe chattle!!
Nimemsikia waitara alisema Kama hujitaki mpinge rais, ni lini bunge lilipinga msaada hapa tz.Kupitia ushetani wa Yule BWANA, akatuletea wabunge mashetani Kama Hawa wanaoshiriki kuuza nchi. Mikwamo mingi tunayokumbana nayo chimbuko lake ni Yule shetani wa Chato.
Angekuwa marehemu mkurugenzi akili kushindwa Kuleta ufanisi bado abaki ofisini hilo halipo mama analea wazembe wengi.Wanajitahidi sana kujisahaulisha misukule wa Marehemu hawa
Somi Kwanza hongera kwa hekma niliyoiona kwako lkn mafunzo ya sheria hapa kwetu ni sawa na kwingine kimitaala, level za juu ni international.Nafikiri tatizo sio vyeti feki Bali mitaala na ufundishaji Kwenye shule za sheria , wanafunzi wanavishwa mawazo ya kupambana kufauli mtihani kwa namna yoyote ile lakini sio kutekeleza kwa vitendo kwa ubora wa juu fani yenyewe
Haya mambo yalifanywa na magungo wa msovero Leo yanajirudia
Na kishika uchumba mkapokea kama kitulizo 🤣🤣🤣🤣Mbona sheria zibadilishwa na accia alifirisika na miga hatukushitakiwa