Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

Akijibu maswali ya wananchi kuhusiana na mkataba huu. Lissu amesema kuwa huu ni mkataba mbaya zaidi tuliowahi kuingia ukilinganisha na mingine yote.

1. Anasema ubaya wa mktaba huu unaenda kubadili sheria za nchi. Akimaanisha kuwa hakuna sheria yeyote nchini ya masuala ya urndeshaji wa bandari itakayotungwa siku na miaka ijayo bila kwanza kuhakikisha haiendi kinyume na mkataba huu wa bandari kati yetu na Dubai. Anasema kwa muktadha huo , uhuru wetu wa kumaneuvre ktk ishu za bandari ndo umeshapigwa PINI na mkataba huu

2. Pili anasema mkataba wenyewe unaenda kinyume cha katiba. Anasema kwa mujibu wa katiba Bandari ni jambo la muungano. Anahoji kdma babdari ni jambo la muungano iweje DP world ihusike na bandari za Tanganyika huku za Zanzibar zikiwa huru nje ya Scope ya mkataba huu. Anauliza utakuwaje na sheria mbili tofauti kwa jambo lilelile la muungano.

3. Pia ameonya kuhusu Kampuni hiyo ya DP kuingilia siasa za Tanzania hasa uchaguzi mkuu, akijibu swali la mwananchi, amesema kuwa uzoefu wake ni makampuni haya ya uwekezaji kufanya michezo hiyo, akatolea mfano kwenye uchaguzi wa nwaka 2005, ambao licha ya CCM kuiba hela za EPA zaidi ya dola milioni 100 ili kuitumia kwenye kampeni za uchaguzi, Makampuni ya Madini yalichangia CCM zaidi ya dola milioni 30. Akaonya kuwa hata hii ksmpuni ya Dubai nayo inaweza kuendelea na mchezo huu maana ili ifanikiwe zaidi katika mkataba huu wa kuuza nchi, lazima CCM iendelee kubaki madarakani, maana serikali yake ndiyo iliyowauzia bandari kiubwete.

Unaweza kumsikiliza kiurefu hapa:

Akaonya kuwa hata hii ksmpuni ya Dubai nayo inaweza kuendelea na mchezo huu maana ili ifanikiwe zaidi katika mkataba huu wa kuuza nchi, lazima CCM iendelee kubaki madarakani, maana serikali yake ndiyo iliyowauzia bandari kiubwete.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia hastahili kabisa kuwepo kwenye ile nafasi yake, hafai, hao wanaomtetea huyu mtu kwasababu yoyote Mungu atawaadhibu.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hatuwezi kuwafungulia kesi hao waarabu matapeli, inaonekana kabisa kwenye yale makubaliano upande mmoja ulilemewa na utamu wa hongo, ukaingia makubaliano yanayohusu mali ya taifa kwa manufaa yao binafsi.

Wananchi wenye bandari yao walishirikishwa vipi kwenye kuamua hatma ya ile bandari? kama hawakushirikishwa, hapo ndio pawe chimbuko la kufungua kesi, kwasababu hao DP World kitendo cha mataifa mengi kuwafungulia kesi, inaonesha ni wahuni.
 
Asikudanganye mtu, Tundu Lisu ni sehemu ya huu utawala na hakuna asichokijua ni kama Zito Kabwe tu, kwangu mimi Tundu lisu is more evil klk hawa CCM kwa maana anajificha ili kuwahadaa watu kwamba yuko against utawala wa Samia wakati siyo kweli, pure evil!
 
CCM must go!

Wakae pembeni wajitathmini, ni ushauri wa bure kabisa. Matumaini ya Watanzania ni kuona Umoja party ikiingia madarakani na kusawazisha/kurakabisha masuala yaliyoikumba Serikali hii kupitia Chama cha Mapinduzi. Au, mageuzi yafanyike ndani ya CCM? Nani atayaweza???

Mambo mengi haya yanayotokea,yamechangwa na Upinzani uchwara uliojikita katika ajenda na sera za Kiuharakati na kupeleka nchi kuyumba. Yaani mazingira waliyoyatengeneza kipindi cha nyuma, ndio yaliyotoa Nchi yetu katika reli iliyokuwa ituvushe kutoka katika makucha ya Mabeberu na Ukoloni mamboleo.

Chagueni kwa Uangalifu 2025 -Umakini wako unahitajika.
 
Kumekucha!! Tutasikia meeengi, mengine bado yanakuja......kila mtu sasa ni msemaji, ni mchambuzi na wote wanajifikiria wana akili na wanajua huku wakijitahidi kuficha linalowasumbua haswaa (unafiki). Hakika lipo linalowasumbua, lipo haswaa na wala sio mkataba kama mkataba....kuna jambo!
 
Mwenge ndio chanzo cha laana zote zinazoliangamiza taifa letu
Isaya 50:11
 
Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi magumu kuhusu huu utawala.
Akijibu maswali ya wananchi kuhusiana na mkataba huu. Lissu amesema kuwa huu ni mkataba mbaya zaidi tuliowahi kuingia ukilinganisha na mingine yote.

1. Anasema ubaya wa mktaba huu unaenda kubadili sheria za nchi. Akimaanisha kuwa hakuna sheria yeyote nchini ya masuala ya uendeshaji wa bandari itakayotungwa siku na miaka ijayo bila kwanza kuhakikisha haiendi kinyume na mkataba huu wa bandari kati yetu na Dubai. Anasema kwa muktadha huo , uhuru wetu wa kumaneuvre ktk ishu za bandari ndo umeshapigwa PINI na mkataba huu

2. Pili anasema mkataba wenyewe unaenda kinyume cha katiba. Anasema kwa mujibu wa katiba Bandari ni jambo la muungano. Anahoji kdma bandari ni jambo la muungano iweje DP world ihusike na bandari za Tanganyika huku za Zanzibar zikiwa huru nje ya Scope ya mkataba huu. Anauliza utakuwaje na sheria mbili tofauti kwa jambo lilelile la muungano.

3. Pia ameonya kuhusu Kampuni hiyo ya DP kuingilia siasa za Tanzania hasa uchaguzi mkuu, akijibu swali la mwananchi, amesema kuwa uzoefu wake ni makampuni haya ya uwekezaji kufanya michezo hiyo, akatolea mfano kwenye uchaguzi wa nwaka 2005, ambao licha ya CCM kuiba hela za EPA zaidi ya dola milioni 100 ili kuitumia kwenye kampeni za uchaguzi, Makampuni ya Madini yalichangia CCM zaidi ya dola milioni 30. Akaonya kuwa hata hii ksmpuni ya Dubai nayo inaweza kuendelea na mchezo huu maana ili ifanikiwe zaidi katika mkataba huu wa kuuza nchi, lazima CCM iendelee kubaki madarakani, maana serikali yake ndiyo iliyowauzia bandari kiubwete.

Unaweza kumsikiliza kiurefu hapa:


Binafsi kama huo Mkataba unaiuza nchi wala sioni shida, ni jambo jema na la kupongezwa sana.
Shida ni je, wakati hiyo nchi inauzwa wananchi wa hiyo walikua hawapo nchini? Kama walikuwepo ilikuwaje wakauzwa huku wakijiona? Wananchi hawana uwezo wa kujipambania zaidi ya kuandika mitandaoni?
Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa wapi? Au kwao ulinzi na usalama ni kukinda serikaki na viongozi, au kwao ulinzi na usalama ni kulinda mipaka ya inapoanza na kuishia nchi bila kujali kilichomo ndani ya mipaka amepewa nani au kinatumikaje?

Kama ndivyo basi ni bora sana nchi iuzwe kuliko siku tukivamiwa na kuporwa.
 
Asikudanganye mtu, Tundu Lisu ni sehemu ya huu utawala na hakuna asichokijua, kwangu mimi Tundu lisu is more evil klk hawa CCM kwa maana anajificha ili kuwahadaa watu kwamba yuko against utawala wa Samia wakati siyo kweli, Tundu Lisu ni kama tu Zito Kabwe na huu utawala, pure evil!
Evil ni Yule aliyefukiwa chato, NDULI MLA NYAMA za watu.
 
Ubaya zaidi ni wanainchi hatuna elimu zaid juu ya nchi ya utawala na mamb ya kijamii,zaid tunawaza kutoboa maisha
 
Back
Top Bottom