Bi mchele ndo aka yakeSamia kawaje tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi mchele ndo aka yakeSamia kawaje tena?
Unamaanisha Nini hasa ukihusianisha na Mkataba huu unaoelekea kutiwa sahihi na Mheshimiwa MbarawaYeye anataka tuende Laindon kwenye mahakama zetu ili apate cha kuongea
Ndio ameona aibu kumsifiaLissu ameongea kwa upole sana. Kweli umeongea point. Kuwekwa sheria inayotaka migogoro ya kimkataba iamuliwe nje ya nchi tunapiga kelele, JPM kaondoa hiyo, badala Lissu asifie hilo jambo kwamba ni la kizalendo, anaamua kuona kwamba tulifanya uamuzi wa ajabu (kwa sababu tu anamchukia Magufuli) anaona kurudisha ile utaratibu wa zamani ndiyo sawa! Uwendawazimu gani huu
Dili kama hizi akosiHuko Club house ndo wapi?Any way mkataba ukifanikishwa na Rostam Aziz fisadi Papa ,ujue hapo nchi imepigwa.
Nini kinajadiliwa Bungeni wakati Mkataba ushasainiwa ?
Mbona twachezeana shere
Mzalendo wa kweli ni muuza bandari na loliondo tusimamie hapoTatizo Tanzania hatuna mahakama.
Kama marehemu angekuwa mzalendo wa kweli, kwanza angehakikisha nchi inakuwa na mahakama. Bahati mbaya yeye mwenyewe akashiriki kikamilifu kuua mahakama.
Kama huna mahakama zilzo huru, hiyo migogoro itapelekwa kwenye hii idara ya Rais? Marehemu mwenyewe alishindwa kuwashawishi Barrick kukubali migogoro kumalizwa nchini, Kabudi wake akaridhia migogoro yote kati ya Serikali na Barrick itamalizwa na mahakama ya Singapore, na haitaruhusuwa kukata rufaa.
Kwenye hili hata USSR imemtosa Maza.Huo mkataba unanuka rushwa.
Ni mkataba gani usio na kikomo??
Hakuna kitu kama hiki duniani.
Ni kama vile tumeamua kuifanya bandari kama sehemu ya Dubai.
Chief Mangungo part two hii.
Wazawa wapo chini ya nani ,KAMA serikali inashindwa kusimamia kisehemu kidogo hivyo wataweza kweli kusimamia ma ma ELITE KAMA HAO DPKwa upande wangu niipongeze serikali ya mh Rais Samia kwa kumtafuta mbia kuiendesha bandari.Wazawa walikuwa wanaendesha kwa kufanya usimamizi ila wizi ulikithiri na mapato mengi yaliishia kwa walafi na mafisadi na kuifanya bandari ya Dar es salaam isiyo na ufanisi tena ikizidiwa na mombasa port wakati sisi kama nchi tunahudumia nchi nyingi kuliko Kenya.
Kongole kwa hatua hii ya kuwapa DP waiendeshe ili mapato yapatikane kwa manufaa ya nchi.
Uhuru wa mahakam unaupomaje mbona huko USA nako huwa wanalalamikia pia mahakam zawaTatizo Tanzania hatuna mahakama.
Kama marehemu angekuwa mzalendo wa kweli, kwanza angehakikisha nchi inakuwa na mahakama. Bahati mbaya yeye mwenyewe akashiriki kikamilifu kuua mahakama.
Kama huna mahakama zilzo huru, hiyo migogoro itapelekwa kwenye hii idara ya Rais? Marehemu mwenyewe alishindwa kuwashawishi Barrick kukubali migogoro kumalizwa nchini, Kabudi wake akaridhia migogoro yote kati ya Serikali na Barrick itamalizwa na mahakama ya Singapore, na haitaruhusuwa kukata rufaa.
Mh.. umeamua tu kutia chumvi ,kwa kuwa we ni anti jpm ,Singapore wanakitu gani specialHata huko kwenye madini ilikwishafutwa. Ilikuwa kuwahadaa wajinga.
Mkataba wa Barrick na Serikali unatamka kuwa migogoro itaamliwa na mahakama ya Singapore, na hakuna kukata rufaa, na hata kukiwa na mgogoro, Serikali ni marufuku kusimamisha uzalishaji au exports.
Siku ikulu ikitaka kuuzwa utakuja kulalamika kwa nini jpm sheria hazikujumuisha ikulu badala yake ikaegemea kwemye madini tu .Umeelewaa lakini au umecoment ili uonekane upo?
Kama una kumbu kumbu vizuri wakati Magufuli anaoambana na wazungu wa madini, Lissu alikua akiktahadharisha kwamba kinachotakiwa kufanyika kwanza Ni kubadili Sheria zetu ili kucomply na uvunjaji wa mikataba kwani tukivunja mikataba bila kufumua sheria zetu tushtakiwa!
Na kwa kumbukumbu sahihi Ni kwamba Sheria ilipelekwa Bungeni kwa hati ya dharura na haikuangalia mikataba yote isipokua madini tu!
Na ndicho kilichoikoa Tanzania kushtakiwa MIGA, na sio kuhamisha goli!
Laiti Kama angekua na utulivu Magufuli akaangalia Sheria za mikataba yote tysingekutana na haya ya Sasa.
Sasa kwa sababu mchakato huu wa bandari ulianza muda mrefu kimya kimya wakati mama anafanya ziara dubai, na kwa sababu sisi sio wa kuhoji Ni wapiga zumari tu, anachosema Tundu Lisu Ni kwamba mkataba unaooenda Bungeni Ni kwamba mkataba unaenda kulazimisha Bunge kubadili Sheria zetu ili kukidhi matakwa ya mkataba Jambo ambalo Ni hatari Sana!
Badala ya wewe kuungana na wazalendo na watu wenye mapenzi mema na nchi hii unaacha kupambana na adui halisi unahamisha goli unaaza kumshambulia mtu. Hatari sana
Wabunge waridhie kupitisha mabadiliko ya sheria za Tanzania kwenye mikataba ili kukidhi mahitaji ya mkataba wa bandari kisheria! Yani Sheria zetu zibadilishwe ili kuaccomodate mkataba!Nini kinajadiliwa Bungeni wakati Mkataba ushasainiwa ?
Mbona twachezeana shere
Alichemka vipi?Anaanza mdogo mdogo kujisafisha baada ya kuchemka....
Wanafanya ratification. Mkataba una vipengele vinavyopingana na sheria za nchi hivyo wanahalalisha hilo kupitia bunge. Ndio hiyo ratificationNini kinajadiliwa Bungeni wakati Mkataba ushasainiwa ?
Mbona twachezeana shere
Nimemweleza vizuri hapo kuwa parliament inaenda kupitisha Sheria itakayoacoomodate mkataba wa milele na ambao hata ukikiuka international laws hauvunjiki!Wanafanya ratification. Mkataba una vipengele vinavyopingana na sheria za nchi hivyo wanahalalisha hilo kupitia bunge. Ndio hiyo ratification
Upuuzi kwa kinyiramba ni tundu lissu!Atoke kwa sababu yeye kazaliwa kuwasemea nyie? Mpuuzi wewe
ukiona wabunge na serikali unakomalia mkataba fulani ujue ndani yake kuna rushwa na tayari watu wamelainishwa,lkn Mungu ni mjuvi watakuja kuumbuliwa tu na kuburuzwa mahakamani.tushirikiane kuipigania katiba ili wala rushwa siku moja tuone wakilambwa shaba hadharani.Huo mkataba unanuka rushwa.
Ni mkataba gani usio na kikomo??
Hakuna kitu kama hiki duniani.
Ni kama vile tumeamua kuifanya bandari kama sehemu ya Dubai.
Chief Mangungo part two hii.
tukishitakiwa freshi tu, kesi zote tutazipanguaTutashitakiwa MIGA