Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

Ule mwenge unaotembezwa nchi nzima utakuwa na nguvu za giza kuwatia Watanganyika uzuzu fulani wakose ujasiri wa kudai haki zao ndiyo maana mimi katika maisha yangu sijashiriki katika mambo ya Mwenge hata kuuona sijawahi labda kwenye TV na magazetini tu.
 
Chuki za kijinga tu ulitegemea vyeti feki mngeweza kuendesha nchi? Matokeo yake ndiyo haya, mkurugenzi anataka wawekezaji kuongeza ufanisi lkn anataka aendelee kubaki na ukurugenzi wake.
Kupitia ushetani wa Yule BWANA, akatuletea wabunge mashetani Kama Hawa wanaoshiriki kuuza nchi. Mikwamo mingi tunayokumbana nayo chimbuko lake ni Yule shetani wa Chato.
 
Kwani Kuna mkataba gani ulivyunjwa na vipi kuhusu miga
Acacia walikua wanachimba madini kwa wizi bila mkataba? Kama walikua na mkataba unazuiaje mtu asiendelee kuchimba while hajavunja mkataba? Lawama zote ni kwa serikali kuhusu mikataba hata yy alikua ni mmojawapo alipiga meza bungeni kupitisha maazimio yote!! U can fool small circle but not all realest niggaz!!!
 
Tumewekeza zaidi ya miaka 60 kwenye bandari zetu, leo hii apewe mwarabu kumiliki kwa kigezo kwamba hatuna ufanisi wa kuziendesha, hivi katika kizazi hiki inakuwaje bado kuna watu wanawaza kama chifu mangungo.
 
Kupitia ushetani wa Yule BWANA, akatuletea wabunge mashetani Kama Hawa wanaoshiriki kuuza nchi. Mikwamo mingi tunayokumbana nayo chimbuko lake ni Yule shetani wa Chato.
Wanajitahidi sana kujisahaulisha misukule wa Marehemu hawa
 
Tulishitakiwa miga?
 
Huo ni uongo mzee wa miga
Wee nae mfuata mkumbo tu, kishika uchumba kilitangazwa na wazalendo uchwara wakasema acacia wamekubali kulipa bilion 300 kwa instalment. Sasa wew cjui kipind hicho ulikua unachunga ng'ombe chattle!!
 
Wee nae mfuata mkumbo tu, kishika uchumba kilitangazwa na wazalendo uchwara wakasema acacia wamekubali kulipa bilion 300 kwa instalment. Sasa wew cjui kipind hicho ulikua unachunga ng'ombe chattle!!
Mbona sheria zibadilishwa na accia alifirisika na miga hatukushitakiwa
 
Kupitia ushetani wa Yule BWANA, akatuletea wabunge mashetani Kama Hawa wanaoshiriki kuuza nchi. Mikwamo mingi tunayokumbana nayo chimbuko lake ni Yule shetani wa Chato.
Nimemsikia waitara alisema Kama hujitaki mpinge rais, ni lini bunge lilipinga msaada hapa tz.
 
Somi Kwanza hongera kwa hekma niliyoiona kwako lkn mafunzo ya sheria hapa kwetu ni sawa na kwingine kimitaala, level za juu ni international.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…