Tundu Lissu mubashara VOA

Tundu Lissu mubashara VOA

Anasema bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa mtu muovu, watanzania wangeendelea kuuwawa na kufanywa mazuzu kwa kumsujudia mtu. Amesisitiza kuwa, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagwa na yule dhalimu.
Nashukuru sasa unatambua kwamba tuko vizuri chini ya ccm hii ya mama samia
 
Lisu ana hasira sana na kila anchoongea hutokana na hasira zake.

Mwambieni sasa arudi, mbaya wake si kafa?
Kama Mandela alivyokuwa na hasira na Kaburu Pieter Botha huko Afrika Kusini. Kurudi ni mapenzi yake, huku yuko kwenye maisha ya juu, siku akiona anataka kurudi huku porini atarudi kimpango wake.
 
Nashukuru sasa unatambua kwamba tuko vizuri chini ya ccm hii ya mama samia

Nimecheka kinoma, eti tuko vizuri chini ya mama Samia, labda nyie masalia ya jiwe ya kundi la watu wasiojulikana, ndio mko vizuri kwa yale malipo ya mauaji aliyokuwa akiwaagiza kufanya.
 
Mwigulu wizara ya fedha tumepigwa.
Jafo kumtoa TAMISEMI tumepigwa....
Hakuna mvurugano, acha kubashiri ubatili. Kwani Magu alipokuwa anafanya mabadiliko ya mawaziri kulitokea mvurugano?!! Hizo ni ramli chonganishi, let Madame President apange safu yake na wala siyo wewe kumpangia
 
Anasema bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa mtu muovu, watanzania wangeendelea kuuwawa na kufanywa mazuzu kwa kumsujudia mtu. Amesisitiza kuwa, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagwa na yule dhalimu.
Ahaa,basi nikajua labda keshateuliwa ukatibu mkuu wa U.N,kwiyo kwiyo kwiyo.
 
Anasema bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa mtu muovu, watanzania wangeendelea kuuwawa na kufanywa mazuzu kwa kumsujudia mtu. Amesisitiza kuwa, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagwa na yule dhalimu.
Kumbe huu ndio uharo alioropoka
Kumbe unakubali huo NI uharo!!!
Sasa kwa nn mnamuacha anaropoka uharo?
Aisee
Umenishangaza leo
 
Mkuu Taga/Mnyonge hii mmeandikiwa au vp? Mana kuna mpaka uzi wake uliletwa humu kuwa Lissu ni mfanyakazi hewa na content ilikuwa hii hii, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Wewe Taga/Mnyonge hujawahi mkubali Lissu hata siku moja so acha kujitekenya mwenyewe, je una comment yoyote ya kuthibitisha hilo ulilosema? Matatizo ya Afrika chanzo ni waafrika wenyewe. Nchi ina watu kama wewe then inasingizia mabeberu ndiyo kikwazo, kweli???
 
Kabudi kaharibu sana, bora hata kipindi cha Marehemu Mahiga, Tanzania kwenye Diplomasia tulikua vizuri! Mzee wa mia na kenda,kaharibu mno,Mama Samia yuko sawa kabisa! Ndiyo maana kamleta Liberata Mulamula,mwana Diplomasia mbobezi
Eti mia na kenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilifikiri nimesikia vibaya kuna mtu pembeni yangu nae akauliza hivi huyu jamaa ni mzima kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi ngumu sana, yaani kuna ambaye na wewe umemzidi akili mpaka anakuona wewe uko timamu mpaka akuuliza umwambie kama Lissu yuko timamu au lah [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom