byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 2,647
- 4,184
sema ukweli tatizo lugha!!Lumumba anabwabwaja tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema ukweli tatizo lugha!!Lumumba anabwabwaja tu!
Lisu ana hasira sana na kila anchoongea hutokana na hasira zake.Hatutaki mapya tunataka ukweli, maana hata Bible na Qoran hamna mapya ni yale yale, lakini waumini kibao.
Nashukuru sasa unatambua kwamba tuko vizuri chini ya ccm hii ya mama samiaAnasema bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa mtu muovu, watanzania wangeendelea kuuwawa na kufanywa mazuzu kwa kumsujudia mtu. Amesisitiza kuwa, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagwa na yule dhalimu.
Kama Mandela alivyokuwa na hasira na Kaburu Pieter Botha huko Afrika Kusini. Kurudi ni mapenzi yake, huku yuko kwenye maisha ya juu, siku akiona anataka kurudi huku porini atarudi kimpango wake.Lisu ana hasira sana na kila anchoongea hutokana na hasira zake.
Mwambieni sasa arudi, mbaya wake si kafa?
Nashukuru sasa unatambua kwamba tuko vizuri chini ya ccm hii ya mama samia
Hakuna mvurugano, acha kubashiri ubatili. Kwani Magu alipokuwa anafanya mabadiliko ya mawaziri kulitokea mvurugano?!! Hizo ni ramli chonganishi, let Madame President apange safu yake na wala siyo wewe kumpangiaMwigulu wizara ya fedha tumepigwa.
Jafo kumtoa TAMISEMI tumepigwa....
Ahaa,basi nikajua labda keshateuliwa ukatibu mkuu wa U.N,kwiyo kwiyo kwiyo.Anasema bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa mtu muovu, watanzania wangeendelea kuuwawa na kufanywa mazuzu kwa kumsujudia mtu. Amesisitiza kuwa, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagwa na yule dhalimu.
Kumbe huu ndio uharo alioropokaAnasema bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa mtu muovu, watanzania wangeendelea kuuwawa na kufanywa mazuzu kwa kumsujudia mtu. Amesisitiza kuwa, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagwa na yule dhalimu.
Kumbe huu ndio uharo alioropoka
Kumbe unakubali huo NI uharo!!!
Sasa kwa nn mnamuacha anaropoka uharo?
Aisee
Umenishangaza leo
Hivi Africa ameifanyia nini mpaka awe shujaa wa Africa?Wamepagawa shujaa wa africa kafa
Wewe Taga/Mnyonge hujawahi mkubali Lissu hata siku moja so acha kujitekenya mwenyewe, je una comment yoyote ya kuthibitisha hilo ulilosema? Matatizo ya Afrika chanzo ni waafrika wenyewe. Nchi ina watu kama wewe then inasingizia mabeberu ndiyo kikwazo, kweli???Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Wewe ni kuku au nguruwe ndugu Taga/ Mnyonge?anatema pumba saa ngapi?
Eti mia na kendaKabudi kaharibu sana, bora hata kipindi cha Marehemu Mahiga, Tanzania kwenye Diplomasia tulikua vizuri! Mzee wa mia na kenda,kaharibu mno,Mama Samia yuko sawa kabisa! Ndiyo maana kamleta Liberata Mulamula,mwana Diplomasia mbobezi
Sasa ungejua hasira zangu mimi ungeshangaa zaidiLisu anatamani hata aende akachape viboko kaburia hayati
[emoji23][emoji23][emoji23]Yule jamaa ipo siku atakufa kwa hasira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilifikiri nimesikia vibaya kuna mtu pembeni yangu nae akauliza hivi huyu jamaa ni mzima kweli.
Mimi namsifu sana Mungu, kaliponya Taifa bila kumwaga damu,sema ukweli tatizo lugha!!
Mkuu wewe huwezi ishi kwa amani bila Lissu?Lisu ana hasira sana na kila anchoongea hutokana na hasira zake.
Mwambieni sasa arudi, mbaya wake si kafa?