Tundu Lissu mubashara VOA

Tundu Lissu mubashara VOA

Lissu anakwama kwama sana kwakifupi kizungu cha kupanga akiwa anaongea hahhhaha.
 
Tofauti wao wamestaharabika sisi bado sana, labda miaka 1,000 ijayo.

Huku kwetu domo kaya ukiwapa media wataongea uongo asilimia 95 na ukweli 5.

Huku kwetu raia wanaupokea uongo kwa 95% na ukweli kwa 5% tena kwa haraka na kuufanyia kazi chap chap na ndio maana zaidi ya zaidi ya 80% ya Watz wagonjwa wanaenda kwa wachawi badala ya hospitali.

Huku kwetu ukiwaruhusu wanasiasa waongee watasodoa kila jema lililofanyika na linalofanyika.

Huku kwetu ukiwapata pulpit mwanasiasa atawagawa watu kwa misingi ya dini, ukabila na jiografia.

Huku kwetu ukiwapa jukwaa wanasiasa watawaambia watu wasilipe kodi.

Huku kwetu ukiwapa wanasiasa jukwaa watawahamasisha watu wasifanye maendeleo ila wabaki kwenye vigenge kupiga soga za kisiasa za upinzani.

Huku kwetu Tanzania ukiwapa wanasiasa nafasi ya kuongea watawahamasisha watu waache kufanya kazi na waandamane kudai kisichojulikana na hatimaye biashara na mali za raia innocent kuharibiwa na kuibiwa.

Huku kwetu ukiwapa fursa ya kuongea wanasiasa watawahamasisha watu kuchukiana kwa misingi mbalimbali na mwisho wake kupigana

Kikwete aliwapa huo uhuru mliutumiaje?, maandamano kila kona, migomo kila kona, hata kazi watu wengi waligomea, uchumi ulidorora

Mnadai msichokijua, mkipewa uhuru huo mambo yakienda vibaya mnasema Serikali Legelege

Mama Samia Suluhu kaza kamba, hatuhitaji siasa sasa hadi 2025, Watz tuachwe tufanye kazi
 
Mawazo ya kitumwa haya[emoji849]

Dooh! Kwa hiyo unaona wananchi ni wa kufugwa Kama kuku wa kisasa, hakuna haja ya kuwasikiliza?!!!
 
Aliyekuwa anasema anamuogopa hayupo ila bwana Lissu ameendelea kuichokoza serikali ya Tanzania kwa kusema maneno ya kuuzi ili aendelee kupata uhalali wa kubaki Ulaya na kulipwa posho za ukimbizi.

Ni wakati wa wazungu kumfukuza na kumwambia rudi nyumbani matibabu umemaliza na Tanzania hakuna vita ni amani.

Serikali ya Samia Suluhu haina muda wa kujibizana kama alivyokaa kimya marehemu ulimsemaa akamkalia kimya mwisho ukaomba ukimbizi bila ya kukimbizwa!

Wazalendo tutaijenga nchi wenyewe tukiwa nyumbani!
 
Sikatai kuwa analeta changamoto kwa CCM ila ndugu zangu ki uhalisia suala la kutetea ugali ni muhimu🚶🚶
 
Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Hawezi unafiki. Na pia sio taahira kama wewe. Hivyo lazima umchukie. Taahira anapigwa ngumi anachekelea mpaka kinyaa. Hajitambui. Mwendazake ameondoka nalo. Kunyamaza humaanisha kukubaliana. Mikono yake imejaa damu isiyo na hatia.
 
Back
Top Bottom