Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lissu ni balaa! kumbe mengi sana yalifichwa kuhusu ugonjwa wa mwendazake , leo kafichua !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kupandisha kisukari ?anatema pumba saa ngapi?
Lissu amesema bodyguard wa Magufuli alishakufa kwa corona. Nafikiri Lissu anashida fulani kichwani [emoji23][emoji23][emoji23]
YouTubeNi radio gan mahojiano yatarushwa?
Muulize mbona anaangaika na mzimu sana!Unahangaika sana na TAL mbona?
Hawezi unafiki. Na pia sio taahira kama wewe. Hivyo lazima umchukie. Taahira anapigwa ngumi anachekelea mpaka kinyaa. Hajitambui. Mwendazake ameondoka nalo. Kunyamaza humaanisha kukubaliana. Mikono yake imejaa damu isiyo na hatia.Unafiki tu baada ya kusemwa saana.
Lisu nilikua na mkubali Sana lakini Ana vichuki Fulani na mtu wa visasi Sana . Nafikiri kiongozi hafai labda kiuhanarakati na pengine angejiunga na vikindu vya waasi msituni tu maana wanaaminigi ktk kuua na kulipiza kisasi tu.
Angepata credit na kuonyesha ukomavu wake kipindi cha msiba lakini ndo alikua Ana kenua meno yote 32
Na wewe kuandika apa huu utopolo umetupiga...futa harakaMwigulu wizara ya fedha tumepigwa.
Jafo kumtoa TAMISEMI tumepigwa.
Kabudi kumtoa kimataifa tumepigwa...
Mropokaji wa kijiweni!Tundu Lissu ni kichaa.....
ana akili za kisekondari
sio matuared politician....
Lisu hana tofauti na Mmawia wa hapa jfIna maana hata huyo bodyguard hamjui? [emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Lisu ana risasi moja imebakia mwilini maumivu bado anayasikia,na wanasema ataishi nayo.Kama maumivu Ni hoja basi Mandela asingesamehe sikuzote