Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Lissu is a liability and curse to this nation every serious leader wili never rule out proper methods of how to dealing him.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimuombee mwenzako kifo,labda wewe ndiyo utakufa na coronaHivi yule mlinzi wa hayati Magufuli amefariki lini?
Habari za kifo cha mtu ni sensitive na ninatarajia mwanasheria nguli TAL ana uhakika na kitu alichokisema
Ameshapoteza mvuto kwa wananchi wasio na vyama. Watakao msapoti ni chadema wenzake ambao hawamshauri wana mjaza upepo ili aendelee kubwabwaja yasio ya msingi.
Tumeanza kuwaona msiyo julikana sasa.Tundu Lissu ni JUKEBOX ya wazungu. Wanaweka coin anaimba nyimbo zao msishangae kutuita waafrika wenzake "dark person" siku ataliita bara la Afrika "dark continent"
Mliufyata 400 trillions ziko wapi ?..wazidai uone kaziLisu anasemaje kuhusu Tanzania kushtakiwa MIGA?
Lissu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lissu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1317][emoji1317][emoji1317]Hadi PLO Lumumba kamwambia akiendelea kuongozwa na chuki na hasira Kwenye akili na moyo wake ,atapoteza ata mvuto aliokua nao kwa watu
Mbeligiji tayari alishafanya maziko ya aliyekuwa mlinzi wa Raisi, unatarifa zozote kuhusu madai hayo ya mbeligijiUsimuombee mwenzako kifo,labda wewe ndiyo utakufa na corona
Mkuu Mmawia sijawahi kushiriki uovu wowote Ila kwa jinsi huyu mbwa anavyolichafua taifa langu siku nikikutananae mitama lazima ihusike. Halafu nitajihisi nimelitendea haki taifa langu. Yaani ninakwenda jela nimebeba bendera ya taifaTumeanza kuwaona msiyo julikana sasa.
Kumbe nawewe ulishiriki?
Ndio terminology nzuri zaidi kumuita mtu mweusi. Angetumia neno 'black' ingechukuliwa vibaya. Ni kiingereza tu ndugu, jitahidi kujifunzaZaidi akaenda mbali kumuita mlinzi huyo "dark person" hii ni kauli ya kibaguzi (xenophobic). Kwa hadhi ya Tundu Lissu kutumia kauli kama "dark person" kama alama ya utambuzi wa mtu inaonyesha jinsi gani ambavyo hafai kuwa kiongozi.
Kwahiyo hao mbwa walio mshambulia kwa risasi 38 unawasifia kwa kitendo walicho kifanya?Mkuu Mmawia sijawahi kushiriki uovu wowote Ila kwa jinsi huyu mbwa anavyolichafua taifa langu siku nikikutananae mitama lazima ihusike. Halafu nitajihisi nimelitendea haki taifa langu. Yaani ninakwenda jela nimebeba bendera ya taifa
Taarifa nilizo nazo ni kuwa ushapata maambikizi ya corona hivyo anza kujiandaa kwa safariMbeligiji tayari alishafanya maziko ya aliyekuwa mlinzi wa Raisi, unatarifa zozote kuhusu madai hayo ya mbeligiji
Huyo lumumba ana popularity ipi nchini kwao?na lumumba kamwambia His path of criticism based on Anger will de-popularize him among Tz’s
Ni vizuri ukafatilia ili upime uzito mwenyewe ya kuadisiwa sio mazuri...Huyo lumumba ana popularity ipi nchini kwao?
Hana tofauti na kibajajNi vizuri ukafatilia ili upime uzito mwenyewe ya kuadisiwa sio mazuri...
Unaongea na mimi au Lissu?Usimuombee mwenzako kifo,labda wewe ndiyo utakufa na corona
WeweUnaongea na mimi au Lissu?
Aliyemzushia kifo yule mwamba ni Tundu Lissu. Go read my post na uwe unasoma na kueleawaWewe