Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
CHADEMA ni chama kibaya sana kwenu mafisadiFriends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Mtahangaika Sana, kile ni kisiki kigumu hamkiwezi
Wewe akili yako ndio imefika hapo. Sasa chama kina shida gani? Kwa taarifa yako chadema kimefikia level ingine. Hata ukifuta huwezi kuondoa mawazo yaliyokwisha kupandwa. Wauaji na watekaji nchini mbona wanajulikana hata na watoto wadogo.? Pole yakoFriends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Na wewe unalamba miguu ya wauaji huku uraiyaniNendeni mkamtoe sasa anamaliza mwaka sasa ananyea debe na kufuga rasta tuh huko fa.la yule
Kati ya mashahidi 30+, wamepeleka 17 wakaona mambo yasiwe mengi, hii kesi serikali ya mbogamboga imedhalilika vibaya mnoNendeni mkamtoe sasa anamaliza mwaka sasa ananyea debe na kufuga rasta tuh huko fa.la yule
Shahidi wa kwenye boksi la siriUlikuwa shahidi no ngapi kwenye kesi yake?
Kama chadema ni vichaa watekaji na wauaji ni wehu promaxNi mtu kichaa pekee anaweza kukaa na kutumaini kitu kutoka kwa vichaa kama chadema.
Hakuna mwehu anaweza fikiria hata sekunde kuwapa matumaini chadema
KWa gen z ni mpyaHii tumetumia miaka 20 iliyopita,siyo jipya
Mikojo mimavi imewajaa mnajiuliza simba akivunja banda tukakaa wapi? Kaani kwa kutulia simba anavunja banda soon!Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Kijana Shababi wa kiichilamuFriends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Huyo jamaa ni mpumbavu Sana,Ujinga ni kipaji!
naunga mkono hoja 🤝Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Wewe punga uislamu unaingiaje hapa punguani wewe?muslims being muslims ...