Lione kwanza hili bonge nyanya aka Tinginya!Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Friends and Enemies,

Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe

Atatoka nawe,utaona sawa na nyimbo za shangwe Hadi shingo ikupinde!Nendeni mkamtoe sasa anamaliza mwaka sasa ananyea debe na kufuga rasta tuh huko fa.la yule
Sawa ewe mlamba mataqo wa kilaza wa kizimkazi!.Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Wauwaji wataweza kukwepa?Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Walichochea Askari wachukue bunduki na risasi wawaue raia hovyo mitaani?Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Kama chadema ni vichaa watekaji na wauaji ni wehu promax
Mmezoea kutoa kauli za kihaini na sasa vilio vya kudai haki na uwajibikaji mmevigeuza uchochezi na uhaini.Kuna kila ushahidi wa video za uhusika wao katika uchochezi na uhaini
Tunataka haki itendeke kwao pasipo na kuonewa huruma wala kuogopwa
Walichochea Askari wachukue bunduki na risasi wawaue raia hovyo mitaani?
Walichochea miili ya Watanzania ichomwe moto baada ya kuwaua?
Walimchochea muuqji Samia awaamuru JWTZ kujiandaa kwa kuchaguzi mwaka mmoja kabla?
Au walikuchochea wewe kushiriki mauaji ya kimbari?
Wewe Nassoro Katuga bila shaka umerukwa na akiliKuna kila ushahidi wa video za uhusika wao katika uchochezi na uhaini
Absolutely, Yes..Tunataka haki itendeke kwao pasipo na kuonewa huruma wala kuogopwa
Wewe Nassoro Katuga bila shaka umerukwa na akili
Wewe mwenyewe na wapuuzi wenzio kwa hiari yenu wenyewe mmefunga ushahidi mahakamani kwa kuleta mashahidi 17
Na kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliye tender hata video Moja ya hizo unazodai unazo nyingi mitandaoni!
Sasa huo uhaini na ugaidi ni wa kwenye hisia zenu tu eeh??
Absolutely, Yes..
Hata Watanganyika ndicho wanachokitaka yaani: UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI..
Yaani;
✓ Kama Kuna gaidi kafanya ugaidi, apewe haki yake..
✓ Kama haini kafanya uhaini na ikathibitika hivyo, apewe haki yake anayostahili..
✓ Bi Kizimkazi a.k.a Samia Suluhu Hassan (aliyekuwa Rais wa Tanganyika na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Ulinzi na usalama by then) ambaye kwa mamlaka yake alitoa amri ya majeshi Polisi, JWTZ, TISS, KMKM na Mgambo kushika silaha na kuanza kuua watu hovyo mitaani, majumbani, maeneo ya starehe kama bar nk, vijiwe vya kahawa nk, naye apewe hakumu yake ya HAKI anayostahili..!
✓ Wote ma OCDs, maRCs, maRPC, mawaziri na viongozi wengine wowote wa kiserikali waliokuwa na wajibu kuzuia uhalifu huo dhidi ya binadamu lakini wao wakasimamia zoezi hili la mauji ya raia kwa kisingizio cha kijinga eti "walichochewa" na ili kutenda uovu huo mkuu wa umwagaji damu za raia wasio na hatia yoyote na kinyume cha sheria tarehe 29/10/2025 na siku zilizofuata, nao wapate haki na stahili yao sahihi ya hukumu..!
Ndugu THE BIG SHOW, nakuhakikishia kuwa hakuna jiwe litabaki limesimama bila kuangushwa.
Na hii haitaisha mpaka pale itakapoisha kwelikweli...
Damu za ndugu zetu ziko ardhini zinadai haki na haki ya uhai hawajanyang'anywa na Tundu Lissu.
Wameuwawa na Samia Suluhu Hassan na serikali yake haramu kiharamia kabisa ili kupata madaraka na mamlaka ya kisiasa - u Rais, ubunge na udiwani 2025..!!