Tundu Lissu na Godbless Lema rudini nchini, mbona mnang'ang'ania kwa wazungu?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.

Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
 
Point sana hii. Maana kwa mbaya wao alikuwa Dkt Magufuli, hakika wangerudi maana yule waliedhania muuaji alishauawa na wao walifanya sherehe na kushangilia juu ya kifo chake na kuwasifia wauaji akina Kigogo2014 (a.k.a Makamba na Mama etc). Ila kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa mwema sana na aliwapenda ila wale wabaya wao waliotaka kumuua Tundu Lisu ndiyo wanaongoza serikali ndiyo wamekuja kugundua kumbe Dkt Magufuli alikuwa kiongozi mwema sana kwa wapinzani, alitamani sana afanye nao kazi ya kuijenga nchi ila wao walikubali kuwatumikia mabeberu na hatimaye yakawapotosha. Mfano Lema kukimbilia Canada lazima kuna beberu ilikula mshiko mrefu kwa sababu ilitosha kuonesha dunia eti Dkt Magufuli ni dikiteta, hivyo watu kama Lema walitafutwa sana kwa kuundiwa hata vikundi vya kutaka kuwaua ili waingie wasiwasi wa kusema serikali ya Dkt Magufuli inawafuatilia.
 
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.

Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Hawawezi kurudi sasa hivi, sababu ya kurudi haipo. Huko walipo wanalipwa posho ya ukimbizi, watoto wao wanasomeshwa bure shule nzuri, Lema hapa nchini hana cha kufanya ana madeni makubwa yasiyolipika, ile kazi yake ya kihalifu aliyokuwa anafanya kabla hajaingia kwenye siasa hawezi kuifanya kwa mazingira ya sasa. Mwaka 2025 ukifika na kama Chadema wakiamua kushiriki uchaguzi ndio utawaona kuja kujaribu bahati ya ubunge na urais; la sivyo hata hiyo 2025 hawatarudi.

Wao ni wakimbizi wa kiuchumi sio walimkimbia Magufuli.
 
Umenena vyema sana, taifa let linahitaji vijana wanaojitambua kama wewe
 
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.

Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
No, sasa hivi hawako ukimbizi tena, wako wanatembelea watoto wao no raia wa huko. Wameua kula white Chrismas na New Year huko huko majuu tusiwaonee wivu hukusisi wenuewe hatuna mvua hatuna umeme, shida yetu tumehuru.
 
Ni waume zako? kuna watanzania wangapi wapo nje huwaiti warudi! familia zao unazilisha wewe?
 
Hata mi nisingerudi nirudi linchi umeme hakuna,maji hakuna,matibabu hovyooo
 
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.

Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
we utamu wa mabeberu wanaujua Lisu na Lema , mbowe ameona isiwe tabu haiwezekani wafaidi kwa , mabeberu pekeyao kawafuata huko huko.
 
Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.

Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Habari ya mjini ni maneno matamu ya juzi ya mzee Makamba masikioni mwa watanzania baada ya mateso ya utawala ule. Usihamishe magoli wewe dege la Mwendazeke. Tulia sindano ikuingie.
 
Daaaahhh.... Nyie wadada wa uswazi mna maneno ingawa sometimes hata hamueleweki mnazungumzia nini...niambie bint kijacho. Na wewe ni CHadema hoya hoya au pro max?
 
Back
Top Bottom