Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #21
Daaaahhh.... Nyie wadada wa uswazi mna maneno ingawa sometimes hata hamueleweki mnazungumzia nini...niambie bint kijacho. Na wewe ni CHadema hoya hoya au pro maxHabari ya mjini ni maneno matamu ya juzi ya mzee Makamba masikioni mwa watanzania baada ya mateso ya utawala ule. Usihamishe magoli wewe dege la Mwendazeke. Tulia sindano ikuingie.