Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
ameolewa babako na famiia yako weww choko la ccm.Hao wameolewa Magufuli ilikuwa kisinguzio tu ili jamii isiwashitukie
Point sana hii. Maana kwa mbaya wao alikuwa Dkt Magufuli, hakika wangerudi maana yule waliedhania muuaji alishauawa na wao walifanya sherehe na kushangilia juu ya kifo chake na kuwasifia wauaji akina Kigogo2014 (a.k.a Makamba na Mama etc). Ila kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa mwema sana na aliwapenda ila wale wabaya wao waliotaka kumuua Tundu Lisu ndiyo wanaongoza serikali ndiyo wamekuja kugundua kumbe Dkt Magufuli alikuwa kiongozi mwema sana kwa wapinzani, alitamani sana afanye nao kazi ya kuijenga nchi ila wao walikubali kuwatumikia mabeberu na hatimaye yakawapotosha. Mfano Lema kukimbilia Canada lazima kuna beberu ilikula mshiko mrefu kwa sababu ilitosha kuonesha dunia eti Dkt Magufuli ni dikiteta, hivyo watu kama Lema walitafutwa sana kwa kuundiwa hata vikundi vya kutaka kuwaua ili waingie wasiwasi wa kusema serikali ya Dkt Magufuli inawafuatilia.Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Hawawezi kurudi sasa hivi, sababu ya kurudi haipo. Huko walipo wanalipwa posho ya ukimbizi, watoto wao wanasomeshwa bure shule nzuri, Lema hapa nchini hana cha kufanya ana madeni makubwa yasiyolipika, ile kazi yake ya kihalifu aliyokuwa anafanya kabla hajaingia kwenye siasa hawezi kuifanya kwa mazingira ya sasa. Mwaka 2025 ukifika na kama Chadema wakiamua kushiriki uchaguzi ndio utawaona kuja kujaribu bahati ya ubunge na urais; la sivyo hata hiyo 2025 hawatarudi.Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Umenena vyema sana, taifa let linahitaji vijana wanaojitambua kama weweHawawezi kurudi sasa hivi, sababu ya kurudi haipo. Huko walipo wanalipwa posho ya ukimbizi, watoto wao wanasomeshwa bure shule nzuri, Lema hapa nchini hana cha kufanya ana madeni makubwa yasiyolipika, ile kazi yake ya kihalifu aliyokuwa anafanya kabla hajaingia kwenye siasa hawezi kuifanya kwa mazingira ya sasa. Mwaka 2025 ukifika na kama Chadema wakiamua kushiriki uchaguzi ndio utawaona kuja kujaribu bahati ya ubunge na urais; la sivyo hata hiyo 2025 hawatarudi.
Wao ni wakimbizi wa kiuchumi sio walimkimbia Magufuli.
Mbona mi sijasema nahitaji kutetewa na mtu? Na aje kunipigania kitu gani wakati mi najipigania mwenyewe? Mi tayari nina maisha yanguAje kukutetea na kukupigania wewe MPUMBAVU. MJINGA. MASIKINI ?
So What the fck wrong with you?Mbona mi sijasema nahitaji kutetewa na mtu? Na aje kunipigania kitu gani wakati mi najipigania mwenyewe? Mi tayari nina maisha yangu
No, sasa hivi hawako ukimbizi tena, wako wanatembelea watoto wao no raia wa huko. Wameua kula white Chrismas na New Year huko huko majuu tusiwaonee wivu hukusisi wenuewe hatuna mvua hatuna umeme, shida yetu tumehuru.Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Mbona mi sijasema nahitaji kutetewa na mtu? Na aje kunipigania kitu gani wakati mi najipigania mwenyewe.Aje kukutetea na kukupigania wewe MPUMBAVU. MJINGA. MASIKINI ?
I should ask you this question. Re yu his fucken side chick?😂So What the fck wrong with you?
Wewe ni mkewe unaona atakuacha huko bila bwana?Ni waume zako? kuna watanzania wangapi wapo nje huwaiti warudi! familia zao unazilisha wewe?
we utamu wa mabeberu wanaujua Lisu na Lema , mbowe ameona isiwe tabu haiwezekani wafaidi kwa , mabeberu pekeyao kawafuata huko huko.Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Habari ya mjini ni maneno matamu ya juzi ya mzee Makamba masikioni mwa watanzania baada ya mateso ya utawala ule. Usihamishe magoli wewe dege la Mwendazeke. Tulia sindano ikuingie.Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia.
Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
Daaaahhh.... Nyie wadada wa uswazi mna maneno ingawa sometimes hata hamueleweki mnazungumzia nini...niambie bint kijacho. Na wewe ni CHadema hoya hoya au pro max?Habari ya mjini ni maneno matamu ya juzi ya mzee Makamba masikioni mwa watanzania baada ya mateso ya utawala ule. Usihamishe magoli wewe dege la Mwendazeke. Tulia sindano ikuingie.